- Thread starter
- #21
Kweli kabisa ,mpaka nmefikia kuweka public hiv jua kichwa cha moto sanaHaiwezi kuwa rahisi hivyo mdogo wangu!
Ila kwa vile Mungu huandaa njia ya kutokea unapobiliwa na wakati mgumu hivyo usife moyo.
Kweli kabisa ,mpaka nmefikia kuweka public hiv jua kichwa cha moto sanaHaiwezi kuwa rahisi hivyo mdogo wangu!
Ila kwa vile Mungu huandaa njia ya kutokea unapobiliwa na wakati mgumu hivyo usife moyo.
Siwezi pinga harakati , siwezi kwenda kinyume na misimamo yangu.... serikali ingekua responsible tu kidogo nisingekua hapaAngalia CHAWA wasikupe kazi ya kumkamata gwajiboy..
Tying error ilikua n D na sio emojiHiyo emoj ya 😄 imesha haribu uzi bwashee
AmenMungu akupe hitaji la moyo wako
Mpandishe treni la over 2.5 la wiki nzimaaa 😂😂😂Sema mwenyewe tukupe treni la odds ngapi la siku 7?
Hio 200k ya stake sasamuuwe spain leo muue na france hizo ni odds @5 alafu stake 200k case solved
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
Striker awe Ateba?Mpandishe treni la over 2.5 la wiki nzimaaa 😂😂😂
Mpandishe treni la over 2.5 la wiki nzimaaa 😂😂😂
Hio 200k ya stake sasa
Per Diem ya Afisa Serikalini kwa sikuKama sikosei unatafuta kazi ambayo kwa siku itakuwa pesa inacheza kwenye 150k.
Ndio sijakosea laki 1 na ½.
Mzee amka amka.
Hakika... Taifa linajivunia kijana mwenye fikra chanya kama wewe. inshaallah kwa uwezo wa Mungu jambo lako litapata kutatuliwa.Siwezi pinga harakati , siwezi kwenda kinyume na misimamo yangu.... serikali ingekua responsible tu kidogo nisingekua hapa
Aaah ******** ningekuwa napesa ya kutosha ndugu yangu aki ya mungu ningekupatia pesa yote hiyo daah ila bless itapatikana tuSiwezi pinga harakati , siwezi kwenda kinyume na misimamo yangu.... serikali ingekua responsible tu kidogo nisingekua hapa
"Kazi yyte isipokuwa kuua tu" hii statement ni tata mno mkuu.Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni