- Thread starter
- #61
Muhindi tapeliDaaah oyaaa an mi unishauri kitu kuhusu muhindi dadek zake daah kajua kunikomesha za jamaa
Muhindi tapeliDaaah oyaaa an mi unishauri kitu kuhusu muhindi dadek zake daah kajua kunikomesha za jamaa
Pesa ngumu mkuuu oooh we acha tyuPesa rahisi huwa sio rahisi kuipata
Mwalimu anausotea huo mshahara miezi minne wewe mwanafunzi unautaka kwa wiki ? Fanya hivi, mtihani ni muhimu sana uza au weka bond vitu kama pc n.k !
Pc 250k, nabak na godoro ,jiko ,nguo na vyombo .....bado safari ni ndefuKama huwezi kuua Basi...
Mwenzenu yuko siriasi ataka msaada,nyie mwatia mzaa,why this??, Kama haiwezekani si bora mtu ukae kimya?
ulikua wapi muda wote?? Ndomaana wanakwambia hukujua hakiba sasa unashangaa salio.. Achana na elimu kabisa, sio vitu vyako. Ungekua serious na elemu ungepambana mapema. Unataka milioni ndani ya siku saba????? Unanisikitisha saaanaNajua ni kitu kigum sana ,ndio maana nmeomba msaada ,muda nilionao na kiasi haviendan kabisa ....ila nikipata sehem nikafanya kaz nikaaminika ni rahisi mtu kukuamin kwasababu atakua amejua nature yako na desperation yako
Nmeona nikujibu tu kwa kukuelewesha , mimi sio mtoto fresh from school .... nmekaa mtaani nmefanya maisha mengine na nmefeli pia , najua thaman ya pesa kuliko unavyozani ..Mimi sio kilema au sio kua siwez kutafuta hio hela nkaipata , maisha yana changamoto na mipango sio yote inaenda kama unavyopanga .....asanteVojana uomgo wa kizamani sana huu, pesa ingekuwa inapatikana kirahisi hivyo ungeshakuwa bilionaire.
Badala kwenda chuo kusoma mnaenda kutafuta wachumba.
Situation ilikua under control mpaka pale ilipokua nje ya uwezo wangu ,kama haukuzaliwa sehem za kujitaftia basi utaelewaulikua wapi muda wote?? Ndomaana wanakwambia hukujua hakiba sasa unashangaa salio.. Achana na elimu kabisa, sio vitu vyako. Ungekua serious na elemu ungepambana mapema. Unataka milioni ndani ya siku saba????? Unanisikitisha saaana
Possibly amekula ada?Vojana uomgo wa kizamani sana huu, pesa ingekuwa inapatikana kirahisi hivyo ungeshakuwa bilionaire.
Badala kwenda chuo kusoma mnaenda kutafuta wachumba.
Situation ilikua under control mpaka pale ilipokua nje ya uwezo wangu ,kama haukuzaliwa sehem za kujitaftiaulikua wapi muda wote?? Ndomaana wanakwambia hukujua hakiba sasa unashangaa salio.. Achana na elimu kabisa, sio vitu vyako. Ungekua serious na elemu ungepambana mapema. Unataka milioni ndani ya siku saba????? Unanisikitisha saaana
AmenPole sana rafiki yangu
MWENYEZI MUNGU akufanyie wepesi
Haikua under control ndo maana vitu vimakua shagalabagala.. Na nimeishi maisha ya kujitegemea tangu nikiwa form 3. na nimemaliza form 4 2012. Trust me when i say am doing just fine.. Umri wako na upumbavu unaoandika havina mashiko. Na bado unapambana kutetea upuuzi wako uonekane una maana. Ndomaana shilingi ya bongo inazidi kushukaSituation ilikua under control mpaka pale ilipokua nje ya uwezo wangu ,kama haukuzaliwa sehem za kujitaftia basi utaelewa
Ahirisha chuo ukatafute pesa kisha usome.Nmeona nikujibu tu kwa kukuelewesha , mimi sio mtoto fresh from school .... nmekaa mtaani nmefanya maisha mengine na nmefeli pia , najua thaman ya pesa kuliko unavyozani ..Mimi sio kilema au sio kua siwez kutafuta hio hela nkaipata , maisha yana changamoto na mipango sio yote inaenda kama unavyopanga .....asante