Uko sahihi kaka , sahiv nipo na frame tupu huko mwanza ....angalau ningekua mwanza ingekua rahisi lakin kwa hii distance ya dodoma na mwanza ngum sana kuaminika .....nmejaribuPole mdogo wangu kwa changamoto unayopitia
Ila ungeomba kama kuna mtu anaweza kukusaidia ufanye mtihani huku unatafuta hela
Nakwambia hivi kwasababu inawezekan
Umeulizwa "kupiga kura"sio kupiga kakaSipigi kaka
Nitapiga kura kama kutakua na reforms bila hapo sitapiga kuraUmeulizwa "kupiga kura"sio kupiga kaka
Hongera kaka , najua haikua rahisi pia ila hongeraPole sana brother me na umri kama wako ndio nipo namaliza mwaka huu hapa UDOM ila cha moto nimekiona.
So understand your pain
Asante KiongozRelax Post pone jichange upya .....
Pole sana na inauma
Mkuu achana nayo elimu sio Kila kitu utasoma baadae ukiwa na helaMimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Nliwaza hili tayar😁😁Iba. Vaa reflector, shika POS, zunguka maduka ukiulizia leseni. Ukikuta hana mwambie alipie ila sema POS haina network so unaacha namba zako na majina.
Namba ambazo utaziditch baada ya kazi.
Ukitaka hata uache na kusoma simamisha na bajaji na bodaboda.
Nikipata mishe constant ,naacha tu kusomaMkuu achana nayo elimu sio Kila kitu utasoma baadae ukiwa na hela
Pambana mkuu upate hiko cheti mtaani pa moto sana kama hauna fani.Hongera kaka , najua haikua rahisi pia ila hongera
Pambana na hali yako ,maisha sio mepesi kiasi hicho.Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Postpone semester sio lazima uendelee ,utarudi ukipata pesa.Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
HakikaPambana mkuu upate hiko cheti mtaani pa moto sana kama hauna fani.
Last option ndio hio kakaPostpone semester sio lazima uendelee ,utarudi ukipata pesa.
We sema unaomba msaada wa kuchangiwa Ada ila kazi ya kukulipa ivo mzee Ngumu.Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Nahtaj ada ,mtu akinisaidia ntashukuru zaidWe sema unaomba msaada wa kuchangiwa Ada ila kazi ya kukulipa ivo mzee Ngumu.