Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Utakula ada ambayo unailipa mwenyew?
Mm najisomesha na biashara yangu ambayo ime collapse baada ya kupigwa tukio
 
Haikua under control ndo maana vitu vimakua shagalabagala.. Na nimeishi maisha ya kujitegemea tangu nikiwa form 3. na nimemaliza form 4 2012. Trust me when i say am doing just fine.. Umri wako na upumbavu unaoandika havina mashiko. Na bado unapambana kutetea upuuzi wako uonekane una maana. Ndomaana shilingi ya bongo inazidi kushuka
Ni jambo jema kama uko stable , kwangu mm siko stable ndio maana sina luxury ya kusema nafanya kila jambo nalolitaka
 
Ahirisha chuo ukatafute pesa kisha usome.

Au kachukue mkopo Bank ili uwe unajua una deni la kulipa.

Sasa nani akusomeshe bure wewe mtu mzima, ikiwa watoto wadogo wao wanakopeshwa na HELSAB?

Chukua mkopo, ukimaliza hicho chuo chako utalip
Hapo ndio umeleta hoja nzuri ,angalau naweza kufungua mawazo mengine, ila bank si watahitaj fixed assets ?
 
Ni jambo jema kama uko stable , kwangu mm siko stable ndio maana sina luxury ya kusema nafanya kila jambo nalolitaka
Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
 
Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
Bro mm pia napambana , na deal na nguo za mtumba Mwanza mlango mmoja ...ila kwakua kuna distance kubwa na nilipo niliiacha kweny usimamiz mwingin nikiwa na malengo baada ya muda niivute biashara ije hku dom but uaminifu umeniua na sina cha kufanya ndan ya muda huu mfupi
 
Issue ndio imekaa hvo, kama unaona kuna element za mm kua muongo its okay lakin kama una n challenge nakuskiliza
 

Attachments

  • Screenshot_20250608_133910.jpg
    Screenshot_20250608_133910.jpg
    235.6 KB · Views: 17
Bro mm pia napambana , na deal na nguo za mtumba Mwanza mlango mmoja ...ila kwakua kuna distance kubwa na nilipo niliiacha kweny usimamiz mwingin nikiwa na malengo baada ya muda niivute biashara ije hku dom but uaminifu umeniua na sina cha kufanya ndan ya muda huu mfupi
Happ kilichobaki ni kutoa milio tu.. hakuna namna
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Upi Msimamo wako kwenye no reform no election?
 
Back
Top Bottom