Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Mimi ni kijana umri miaka 28 niko dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nlikua najisomesha mwenyew na kwasasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nlikua nahitaj msaada wa kazi yeyote isipokua kuua tu au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu .Jina ni Jackson , control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Angalia usije rubuniwa na mapididi, ila wee tafta pesa au sio?
 
Kwanza pole sana lakini naamini Mungu ni mwaminifu atakuvukisha salama kutoka kwenye huo mkwamo. Jaribu mkopo na uwe na kitu cha dhamana chenye thamani ya zaidi ya hiyo pesa unayohitaji
Asante🙏🏻
 
Back
Top Bottom