Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Tafuta namba ya millard Ayo akutangazie kwenye page yake labda utapata msaada.

To me naona watu wa JF hawapendi kujitolea sababu “binadamu anafanya ili aonekane “ Kule insta huwa naona watu wakichanga wanacopy na kupaste msg ya miamala kwenye comment labda inawasaidia kujisikia vizuri/kuonekana.

Wana JF tungefanya tonetone huyu mtu angefanya mtihani.
Wazo zuri na nashukuru but najua siwez kupata airtime kule
 
Uko sahihi kaka , sahiv nipo na frame tupu huko mwanza ....angalau ningekua mwanza ingekua rahisi lakin kwa hii distance ya dodoma na mwanza ngum sana kuaminika .....nmejaribu
Ungewaza mapema, option nzuri ilikua kuhama na biashara, unawauzia pisi za hapo chuo.....pole kwa changamoto
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya....

Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika .

Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa kuua tu) au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu.

Jina ni Jackson, control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Ungesema kazi yoyote halali. Kuua ni moja ya kazi haramu.
 
muuwe spain leo muue na france hizo ni odds @5 alafu stake 200k case solved

NO REFORM NO ELECTION
NO REFORMA NO ELECCIÓN
PAS DE RÉFORME PAS D'ÉLECTION
لا إصلاح لا انتخابات
不改革,不选举
НЕТ РЕФОРМЫ – НЕТ ВЫБОРОВ
कोई सुधार नहीं, कोई चुनाव नहीं
কোনো সংস্কার নেই, কোনো নির্বাচন নেই
SEM REFORMA, SEM ELEIÇÃO
HAKUNA MAGEUZI, HAKUNA UCHAGUZI
改革なし、選挙なし
KEINE REFORM, KEINE WAHL
개혁 없으면 선거 없다
REFORM YOK, SEÇİM YOK
NESSUNA RIFORMA, NESSUNA ELEZIONE
KHÔNG CẢI CÁCH, KHÔNG BẦU CỬ
بدون اصلاحات، بدون انتخابات
کوئی اصلاح نہیں، کوئی انتخاب نہیں
ਕੋਈ ਸੁਧਾਰ ਨਹੀਂ, ਕੋਈ ਚੋਣ ਨਹੀਂ
ไม่มีการปฏิรูป ไม่มีการเลือกตั้ง
BABU GYARA, BABU ZABE
ÌYÍPADÀ KÒ SÍ, ÌDÌBÒ KÒ SÍ
AKUKHO GUQULO, AKUKHO UKHETHELO
ምንም �ውጥ �ልመጣ ምንም ምርጫ የለም
ENWEGHỊ NDOGHARỊ, ENWEGHỊ NTULỊAKA
JIJJIIRAA HIN QABNU, FILANNOS HIN QABNU
Kama hujatumia translator, bas unajitahid saana
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya....

Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika .

Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa kuua tu) au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu.

Jina ni Jackson, control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Unayopitia hata Mimi niliyapitia .....iloni razimu kusimama kimasomo......

Hey ukishindwa PATA ,,,,, we. Postpone Ili ufanye paper next academic year tuuu
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya....

Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika .

Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa kuua tu) au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu.

Jina ni Jackson, control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Njoo inbox nikupe mchongo
 
Back
Top Bottom