Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
Mkuu kwanza jua jambo moja kozi za afya muda finyu sana watu wanabanwa kuanzia class unatakiwa uwepo darasani kila siku na uwe umesaini anagalau 90% ili uweze kuruhusiwa kufanya pepa sasa si jambo dogo hilo na ukizingatia asubuhi uwe class unatoka saa 10. Bado hujasoma nk so si rahisi japo inawezekana kupambana pia
 
Nafahamu namna unajisikia hiyo hali nimewahi ipitia wakati nasoma dah sitaki hata kukumbuka ,pia kwasasa nina mdogo wangu nauuguza yaani hakuna rangi naacha kuona yaani mpaka msingi unakauka naona. Maisha hayana huruma wakuu shida yako ni yako.

Mimi nakuombea M/Mungu akutie nguvu mkuu naamini utafanikiwa
Asante sana , n ngum mtu kuelewa lakin ndio maisha
 
Kila mtu , kila familia na kila ukoo unachangamoto za kiuchumi.
Ulichotakiwa kufanya ni kuangalia uwezo wako wa kijeshi kabla hujaenda kupigana na jeshi jingine ili usije kushindwa njiani ukaonekana mpumbavu.
Ni busara za Yesu hizo sio mimi
Kuna wakati maisha yanakulazimisha usisubiri ili ufanye jambo fulani. Hivyo tumuelewe tu.

Ushauri wangu ukichomoka hapo tafuta gvt instute ukasome private watakukausha hawana huruma pale ni biashara unapewa huduma unatakiwa ulipie na walimu nao walipwe stahiki zao so hakuna fair.
 
Sept ntabadili institute , ngoja nipite kwanza hili jaribu
 
Kila mtu , kila familia na kila ukoo unachangamoto za kiuchumi.
Ulichotakiwa kufanya ni kuangalia uwezo wako wa kijeshi kabla hujaenda kupigana na jeshi jingine ili usije kushindwa njiani ukaonekana mpumbavu.
Ni busara za Yesu hizo sio mimi
Uko sahihi kiongoz
 
Mkuu ulisoma degree pale? Kuna kozi nahitaji kufafanuliwa pale na kupewa muongozo ipi ni bora, unaweza kunisaidia hilo???
Bsc.AF , BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE.... SCHOOL OF SERBI................

ULIZA TUU
 
Nmeongelea Ateba nkimaanisha watu wa kubeti kwa lugha ya picha kua unabet over alafu striker hafungi
Alafu miaka 28 n kua nmerud skuli kwa hiari yangu sio kwamba nasomeshwa na mtu
Pambana acha kulialia hapa wakati hauko serious. Nenda ukabet upate hiyo hela.
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya....

Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika .

Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa kuua tu) au msaada wowote li nikamilishe ndoto zangu.

Jina ni Jackson, control number DC2427081010483 na namba ya simu ni 0778039745.......asanteni
Yaani ukipata kazi inayoweza kukuingizia hicho kiasi unaenda kuendelea na masomo ili iwaje kwa mfano?
 
Yaani ukipata kazi inayoweza kukuingizia hicho kiasi unaenda kuendelea na masomo ili iwaje kwa mfano?
Kaz inaweza kua endelevu, inaweza kua hata ya miez 3 lakin nikapewa hio amount nayohitaj ndan ya muda hii week ....hio ndio point yangu
 
Kaz inaweza kua endelevu, inaweza kua hata ya miez 3 lakin nikapewa hio amount nayohitaj ndan ya muda hii week ....hio ndio point yangu
Nakupa kidonge kigumu kumeza: labda uuze Figo ndugu yangu 🙏
 
Back
Top Bottom