Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Sergeant na staff sergeant hao ni askari waandamizi wakiwa ndani ya platoon ,ambapo Platoon inakuwa inatekeleza amri za Ofisa (Nyota moja au nyota mbili) na huwa anakuwepo mmoja tu yaani Sr NCO katika Platoon nzima

Koplo, Sergeant,Staff Sergeant huwa ni kama wapokea amri kutoka kwa kamanda wa platoon(huyu huwa ni kati hivi vyeo viwili ; luteni au Luteni usu) na kuzitekeleza pamoja na privates
 
Sawa mkuu...Njoo na kwa maafisa ila nina swali
Kwamfano mtu akishamaliza mafunzo yake ya Jkt either iwe kwa mujibu au kujitolea,Halafu akarudi mtaani then akapata mtu wa kumconnect na ajira za jeshi,Kuna uwezekano wa kutoka mtaani kwenda kozi ya ajira moja kwa moja au mpaka arudi Ukuruta tena?
 
Contradiction.
 
Kula like mkuu
 
Kazi kubwa ni ulinzi wa nchi usiku na mchana full stop

Sent by The man of night watch

You can't stop what you can't see
 
Kwa sasaizi hakuna uwezekano labda kwa zamani lkn sio saizi saizi ni ngumu sana...
 
Mkuu ujamuelewa dogo dogo kataka majukumu ya askari wakiwa vikosini na wala sio vitani we umeingia deap sana unavyomueleza kusu platoon mtoa mada aelewi chochote ajui platoo ajui campany ajui section ajui chochote yy mtoa mada kataka kujua kusu kazi wanazofanya askari wa JW wakiwa kwenye vikosi vyao yani majukumu yao ya kila siku yakoje???sasa mm ndo nimemsaidia kwa kumuelewesha majukumu yao ww unaongelea vitu vya ndani sana awezi akakuelewa mtoa Mada.....
 
Sawa mkuu
 
Wanaona raha wanavyoanika mambo ya majeshi mitandaoni, lakini wajue tu kiama chao kiko mbioni maana mambo ya majeshi hayaanikwi kila sehemu.
Inaonekana kichwani hamna kitu,nguo tu ndio zinaanikagwa simbilisi wewe.Hata google ukisearch unaweza pata taarifa za JWTZ sasa simbilisi kama wewe unaona kuuliza ni kuandika mambo ya jeshi
 
Safi sana mkuu.Nilikuwa nataka majibu kama haya.Sasa watu wenye akili ndogo information kama hizi wanazichukulia kama ni kuhatarisha usalama.Haya kama hapa kwa kutaja majukumu haya ni usalama gani umehatarishwa.Watu wenye viherehere ndio wako.mstari wa.mbele tucomment.Mtu kama hajui kitu ni.bora aka kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…