Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Si uende depo! Kama haujawai kuambiwa hata siraha zinazonunuliwa hautaweza kuambiwa hicho unachouliza. Humu jf utadanganywa tu. Lakini kazi ninayoijua ya jeshi kwa ujumla ni ulinzi wa mipaka ya nchi yetu. Labda na zile parade za uwanja wa taifa. Na kutoa misaada kwenye majanga au ajari kubwa.

Nikigundua zingine nitaunganisha hapahapa.

Kwa msaada zaidi google majeshi ya ulaya,, yameweka habari zao mitandaoni,, hivyo unaweza kufananisha na jeshi letu na ukapata jibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hao kanali na meja hawako kikosini mkuu.lengo langu ni kutaka kujua mfano kuruta kila siku a anaamka anaingia kazini,anapokuwa mazingira ya kazini majukumu yake ni yapi daily
Haya maswali kaulize kambi ya jeshi lolote nadhani utapata majibu sahihi.
Hapa tutakudanganya.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Duh imo wapi hiyo video
 
Ila JF inachekesha sana siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kuna watu waonho sana[emoji119]
 
Vyeo vingine hawaruhusiw kushika bunduki....ni mafyekeo tu.
 
Kwa kifupi kila rank inakuwa na majukumu yake ila hautakaa uyajue humu labda nyuzi fulani uitafute kuna mtu kajaribu kuelezea japo kavurunda
 
Ukopoa umeelezea vyema
 
Et n Salim kikeke tehteh
 
Kazi ya Kila Askari/Mwanajeshi ni kulinda nchi na watu wake kutoka kwenye tishio la aina yoyote ile bila kujari cheo chale.

Kama ilivyo kwa mwalimu ni kufundisha haijalishi umeajiriwa lini. Ukiajiriwa Leo utafundisha sawa na aliyeajiriwa miaka kumi iliyopita. Ila Kuna mwalimu mkuu, mwalimu mkuu msaidizi, mwalimu taaluma, malezi, zamu hayo ni majukumu waliyoyapata kwa sababu ya ualimu au daktari kazi yake kutoa tiba.

Same na jeshi Nako vyeo vyao ni kusimamia utelezaji wa majukumu yao ya msingi ila wote ni Askari kazi yao kuilinda nchi na watu wake
 
Kwahyo mkuu vijana wetu waliojitolea wanaweza pata bahat ya kuitwa tpdf na je ni vigezo gani huwa wanatumia na je jeshi linakaa muda gan mpka kuajiri na kwann sahv wakati walivyochukuliwa wakujitolea wamesema walio kuanzia form4 kwenda chini na sio wale wa advance na vyuo??
 
Naona nyota kabisa..*****:'****!#!#!#..

Hata sijui Kama umeniambia ukweli au umenidanganya.

Any way hayo ni Mambo yenu nyie mashetani wenye ulimwengu wenu sisi raia wa kawaida tulimuona jiwe mwokozi wetu kwenye vitu vingi sana.
sisi siyo mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…