zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Jeshi halina fomula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maswali kaulize kambi ya jeshi lolote nadhani utapata majibu sahihi.Hao kanali na meja hawako kikosini mkuu.lengo langu ni kutaka kujua mfano kuruta kila siku a anaamka anaingia kazini,anapokuwa mazingira ya kazini majukumu yake ni yapi daily
Duh imo wapi hiyo videoKikosini sina hakika sana ila from what i know, Jeshi lina kazi nyingi hakuna specific mfano juzi ilisambaa video jamaa kapewa kazi ya kulinda nguruwe huko kikosini yani ndio kazi yake ya kila siku so ki ufupi hutopata jibu unalotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo humu JF ,jamaa aliua chatu kwa kumchinjaDuh imo wapi hiyo video
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Muongo kikuma wewe
Kwa kifupi kila rank inakuwa na majukumu yake ila hautakaa uyajue humu labda nyuzi fulani uitafute kuna mtu kajaribu kuelezea japo kavurundaKikosini sina hakika sana ila from what i know, Jeshi lina kazi nyingi hakuna specific mfano juzi ilisambaa video jamaa kapewa kazi ya kulinda nguruwe huko kikosini yani ndio kazi yake ya kila siku so ki ufupi hutopata jibu unalotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukopoa umeelezea vyemaMm nitakuelekeza yote kwa niaba ya watu wengine wajue humu ndani hakuna mtu anae nijua mm humu mana mm nipo kwenye iyo kazi nitakuelekeza yote ujue mdogo wangu nipo kwenye iki chombo tokea mwaka 2001 na nimeingia nikiwa na umri wa miaka 16 tuu nimeona mengi na nimeshuhudia mengi mno nitakueleleza ujue majukumu yao tuu vitu vingine sito visema ila nitasema kuhusu majukumu yao tu.
Naanza na vyeo vya maaskari.
Private (aka shati tupu)
Huyu hana ni askari ambae ametoka mafunzoni mda si mrefu ili awe askari kamili anafanya coz inaitwa level 3 hi coz akifanya ndo upewa na kuruhusiwa kufanya fatiki za kijeshi na hii level 3 ni coz ya miezi mi 3 tu akimaliza hii coz sasa ndo upewa majukumu kama yafuatayo itategemea na kikosi ambacho yupo na command ambayo yupo command namanisha matawi haya ya jwtz na izi branch zipo 5 ya kwanza Makao makuu,ya pili Nyika ya tatu Wanamaji Navy,ya Nne Anga ya tano Jeshi la kujenga taifa private majukumu yake makubwa ni
Kulinda,kufyeka,kufanya usafi wa kikosi kwenda mission mbali mbali ambazo ni ndogo ndogo,kama ana professional mfano ya kuendesha gari bac ataendesha gari za jeshi ila lazima aende coz ya kujifunza kuendesha gari za jeshi ila private kazi yake kubwa ni kulinda guard bac iyo ndo kazi yake kubwa...
Lance Copro.(V moja)
Huyu majukumu yake ni kulinda na kuwangalia maprivate cheo iki mara nyingi uwa ni cha upendeleo tuu.
Copro(V mbili)
Huyu ndo kila kitu jeshi majukumu yake ni kutoa mafunzo kwa maafisa kutoa mafunzo kwa askari makuruti kulinda pia huyu anakuwa ana section nyingi sana za kupiganisha vitani huyu ni kama kiungo jeshini...
Sargent( V tatu)
Huyu kazi yake kubwa ni kufundisha,kulinda,kufanya shughuri ndogo ndogo pia kutoa amri kwa askari walio chini yake ni afande mzuri sana huyu
Staff sargent(bibi na bwana na V 3)
Huyu ni sir major huyu ndo mkubwa wa maskari wadogo wadogo wote kazi yake kubwa kuwafanya askari kuwa pamoja kupanga detail za kazi kikosini kuandaa order mbali mbali..
Mteule daraja la kwanza (lisaa korokoro analivaa mkononi)
Huyu kazi yake kubwa ni kuwafanya askari wawe na utulivu kikosini.
Mteure Daraja la pili (lisaa analivaa mkononi lililo na rangi nyekundu limekoza lina bibi na bwana)
Huyu kazi yake kuwa fanya skari wawe na nidhamu na kutoa adhabu mbali mbali kwa maskari watukutu.. iyondo kazi yake kubwa..nitaendelea....
Endelea mzeeMleta mada somo la vita ni refu sana...ningekuelekeza ila kuandika sitoweza mana lina mambo mengi mno...
Et n Salim kikeke tehtehSikia jeshini unaingia ki vyovyote kulingana na ulicho somea au unataka kusomea nini ukiwa huko we ingia tu.
Kuruta hana cheo km hana kisomo yeye ni usafi tu.kufyeka kuosha vyoo!!
Lkn kwa bunduki na mbinu za kivita humtoi anajua kutumia bunduki na kukwepa risasi si kawaida.
copro pia ivo ivo!! Kuna kopro msomi na asiyesoma.
Mpaka huko juu wako ivoivo... Unaweza kuta full canal ameipata ajili ya shule kubwa mfano
daktari bingwa km chambuso....Lugoe. Ma fish Hawa walipata ivo vyeo ajili ya shule zao kubwa lkn pia course za kijeshi monduli lazima upitie miezi tisa.
Na zitarudiwa km itahitajika hawa ni muhimu pia ktk logistic za kijeshi....mkiwa mstari wa mbele mnahitaji
madaktari.
ma linguistic.
Engineers.
Wahasibu.
waalimu wa siasa jeshini yaani kila fani. Na hawa wote wapate mafunzo kamili ya kijeshi
Mfano Hosp. inaweza vamiwa na adui any time lazima dr aweke sindano pembeni apambane kwanza akimaliza arudie sindano zake.
Ivo ivo kwa kada nyingine jeshini pia.na haya.... haya fanyiki wkt wa vita tu hata wkt wa amani.
km lugalo Hosp.ile ina hadhi zaidi ya MNH.Ndipo viongozi wakuu km mkapa.amina chifupa nk hufia hasa kipindi km hiki cha covid.
ndo maana hata migomo ikitokea Muhimbili haiathiri saana utendaji wa serikali.kuna wajeda kibao mle ndani lkn km raia tu.
Univesity of Dsm robo tatu ya wahadhiri wa ngazi za juu ni wajeda. Tena makomandoo Wana subili teuzi.
Si unaona migomo imepungua
Yaani ukijishebedua utakuta wafuasi wako wengi ni makomandoo wajeda utapotea kirahisi sana. Hutasikika tena.ukijifanya kugoma pale.
Hosp zote za Mikoa wilaya wale ni makomandoo!
Ukianzia na Temeke Hosp Dr Malima ni komandoo hatari.... lile jicho si bahati mbaya aliumia wkt wa mafunzo.
Ukimuangalia sana hata tembea yake ni ya kikomandoo!!Habughuziwi saana na wizara ya afya wanamjua fika. Hata baraza la Madaktari siku hizi wamejaa huko. Sector zooote ziko hivo.isipokuwa private sector ni wachache kule wana ajiliwa km part time lkn wana yao.....
Hawa wako mpaka hukooo Mahurunga kati ya msumbiji na bongo....ukileta za kuleta wanakiwasha dakika sifuri....wanasawazisha.
Hata Rais ujipange vizuri kufanya yaliyo sawa....ukijifanya jiwe wanasawazisha halafu kimya .utapotea tu! Km alivopotea jiwe!
Mzanaki aliisuka hasa nchi ikasukika kenya hawaoni ndani. Huko Al shaabab robo ni watanzania tena wasomi hasa. Ni kufa kupona wanakamatwa sana lkn yanaishi hivi hivi....
Salim kikeke Bbc ni mmoja wao hao....ntarudi..
Muongo kinoma uyoEt n Salim kikeke tehteh
subiri nivute kwanza nawajua wote hao tulikuwa depo moja 823 kj....Et n Salim kikeke tehteh
Kazi ya Kila Askari/Mwanajeshi ni kulinda nchi na watu wake kutoka kwenye tishio la aina yoyote ile bila kujari cheo chale.Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya kila siku.Mfano ukipita lugalo unaweza kuwakuta kuruta wanafyeka nyasi sijui kazi zao ndio za aina hiyo hizo kila siku?
Kwahyo mkuu vijana wetu waliojitolea wanaweza pata bahat ya kuitwa tpdf na je ni vigezo gani huwa wanatumia na je jeshi linakaa muda gan mpka kuajiri na kwann sahv wakati walivyochukuliwa wakujitolea wamesema walio kuanzia form4 kwenda chini na sio wale wa advance na vyuo??Kwani CDF ndo anamuingiza jeshini jeshi ni process mzee wanangalia ukitokea mujibu uwezi ingia mpaka utokee kujitolea au unaweza ingia kama iyo intake yako ya mujibu inafanana na intake ya kujitolea majina na namba apo sana ila ww umetolea mujibu 2012 uko operation sensa let say afu eti uwe na mbuyu ukupiganishie uingie jeshini mwaka 2020 op Melelani haiwezekaniki mana op na no zenu za jkt nitofauti uyo CDF atachemka tuu mana maafande wake wa chini watamkatalia na kumwambia mkuu huyu op yake na no zake ni za muda mrefu tutazibia nafasi watu wengine yani haiwezekaniki protocal na nidhamu za kijeshi zitafuatwa kama CDF atagoma atataka kuforce mana ma IO wapo na watafanya kazi yao nazani nimeeleweka
NB:IO (huyu ni mtu wa usalama jeshini) na huwa yupo pale vetting za kuchukua kuruta wapya zinapo fanyika usaili unavyofanyika nazani nimeeleweka.....
Kj ndo teethsubiri nivute kwanza nawajua wote hao tulikuwa depo moja 823 kj....
sisi siyo mashetaniNaona nyota kabisa..*****:'****!#!#!#..
Hata sijui Kama umeniambia ukweli au umenidanganya.
Any way hayo ni Mambo yenu nyie mashetani wenye ulimwengu wenu sisi raia wa kawaida tulimuona jiwe mwokozi wetu kwenye vitu vingi sana.