TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi leo hujui kutumia Silaha?
Pole sana, Ulichelewa wapi?Silaha sio simu ya mkononi.
Nafahamu,sijui nataka kujuaHadi leo hujui kutumia Silaha?
HayaNafahamu,sijui nataka kujua
Ushauri wangu tafuta mmoja kutoka kwa watekaji inaonekana wapo mahiri kwenye shabaha.Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa dar
Acha ujinga wewe,Hadi leo hujui kutumia Silaha?
Hao watanipatia cheti cha umahiri ktk matumizi?,kama ndio naomba uniunganishe naoUshauri wangu tafuta mmoja kutoka kwa watekaji inaonekana wapo mahiri kwenye shabaha.
za magendo hazipatikani, kumliki bila mamlaka kujuaUnatakiwa uwe na kibali kwanza.
Kwamba wewe ndio umeumia kuliko mleta mada? Halafu siasa ndio zinazowaburuza nyinyi kwenye nchi , usijifanye haikuhusuAcha ujinga wewe,
Kama haujui hiyo sehemu kaa kimya ila wanaojua wachangie ili pia wasiojua wapate kujua.
Hayo masiasa yenu yanawachanganya hadi inapelekea kila mada mnaona ni mabishano tu.
Hovyo kabisa wewe.
Mombasa tembelea Rangers wanaitwa FFU yaan Field Force Unit pale wanafundishwa na unapewa kibariWakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa dar
Asante,na hiyo ni njia yangu kila sikuMombasa tembelea Rangers wanaitwa FFU yaan Field Force Unit pale wanafundishwa na unapewa kibari
Silaha zipo za kumwaga wewe tu na hela yako
Wewe watembelee watakupa muongozo kamili ila utapewa kila kitu kikubwa ni utimamu wa akili kichaa hapewi SilahaKibali unakipataje kabla wakati kanuni unapoomba leseni inatakiwa uambatanishe cheti cha umahiri ktk matumizi mkuu?
Nenda pale kawaone uongee nao vizuri watakupa mafunzo na Silaha utapewa ila zingatia utimamu wa akili km unajijua wewe una elements za ukichaa usisogelee SilahaAsante,na hiyo ni njia yangu kila siku
Ni kosa kwa mujibu wa sheria maana unaponunua zinajazwa taarifa zote,hata ukinunua kiuni hawawezi kukupa leseni maana lazima supplier ajazwe kwenye fomuza magendo hazipatikani, kumliki bila mamlaka kujua