Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

Hadi leo hujui kutumia Silaha?
Silaha unafikiri ni boda boda kwamba utaenda kijiweni uwaombe washikaji wakufundishe. Ikiwa hujui kaa kimya atashauriwa na wanaojua. Kwa ushauri mtoa mada aenda ofisi ya polisi wilaya akupatiwa utaratibu wa namna ya kupata mafunzo ya ubora wa matumizi ya silaha za moto. Na kuna malipo atalipia.
 
Itakuwa alimaanisha kutumia panga
 
Hivi watakuwa wanatoa certificate of competency kweli au wao ni kutoa tu mafunzo kisha mnaagana kienyeji na hasa kwa kuwapoza kwa kitu kidogo?
Wanatoa maana huwezi kupewa gun book kama huna cheti cha umahiri,na inasemekana unafanyiwa majaribio kabla yakukabidhiwa
 
Hata kirungu, Kisu, panga, Shoka zote ni silaha mkuu ..

Utani..

Ukiipata police, wanakupa na mafunzo pia , hiyo ni lazima..
 
Back
Top Bottom