Nenda Tanganyika Arms Limited.
Nje ya mada: Unaweza niuliza chochote kuhusu kujilinda binafsi, matumizi ya silaha flani flani na nyenzo katika kujilinda na matukio ya kimafia.
Kujihami kimapigano ni mbinu na hizo mbinu lazima ujifunze na uzijue kuzitumia, wapi na kwa namna gani, uchague kutumia mbinu gani kulingana na tukio husika unalokutana nalo.
Kwa dokezo tuu: Kanuni ya kwanza unapotaka kujihami dhidi ya hatari yeyote ni ile ya kuwa wa kwanza kushambulia. Unapohisi hatari kuwa wa kwanza kushambulia ndio kanuni ya kwanza, iwe vitani, vibaka, watekaji vyovyote iwavyo hakikisha unakuwa wa kwanza ushambulia kwa namna flani.
Mfano: Naishi kwenye mtaa korofi, wenye umafia na ubandidu uliokithiri. Nimeishi hapa kwa miaka mingi, Vibaka wote labda wageni wanajua habari zangu hapa mtaani.
Ushauri: Kama wewe ni mtu wa kawaida na hujawahi kupaka msasa "kozi" yeyote ya ukakamavu na matumizi ya silaha basi jifunze hata kutumia "Pepper Spray". It works guys