Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

Acha ujinga wewe,
Kama haujui hiyo sehemu kaa kimya ili wanaojua wachangie pia wasiojua wapate kujua.

Hayo masiasa yenu yanawachanganya hadi inapelekea kila mada mnaona ni mabishano tu.
Hovyo kabisa wewe.
Swali lake lina ubaya gani? Wapi ameingiza siasa mpumbavu wewe.
 
Usisahau alisema ni nyumbani kwa chawa na kunguni na mnalala kimbanano hakuna kukunja miguu nyooka km rula

Unasikia sikia huku wanasema chawa chawa chawa sasa chawa halisi ukitaka kuwaona wanaonekanaje nenda Jela utawaona
Kwamba hajawahi kukaa hata mahabusu?,chawa kunguni ni marafiki kwa kila mtu wa gerezani,kuna muda unajitenga na suruali zako unabinya kamoja kamoja kuwapunguza
 
Akili Yako Ndio Silaha Hatari sana na Bora mnoo Kuliko Silaha Yoyote ile Uliyobahatika Kuifahamu....Jifunze Zaidi Kutumia Akili Yako Kisawasawa.
 
Nenda Tanganyika Arms Limited.

Nje ya mada: Unaweza niuliza chochote kuhusu kujilinda binafsi, matumizi ya silaha flani flani na nyenzo katika kujilinda na matukio ya kimafia.
Kujihami kimapigano ni mbinu na hizo mbinu lazima ujifunze na uzijue kuzitumia, wapi na kwa namna gani, uchague kutumia mbinu gani kulingana na tukio husika unalokutana nalo.

Kwa dokezo tuu: Kanuni ya kwanza unapotaka kujihami dhidi ya hatari yeyote ni ile ya kuwa wa kwanza kushambulia. Unapohisi hatari kuwa wa kwanza kushambulia ndio kanuni ya kwanza, iwe vitani, vibaka, watekaji vyovyote iwavyo hakikisha unakuwa wa kwanza ushambulia kwa namna flani.

Mfano: Naishi kwenye mtaa korofi, wenye umafia na ubandidu uliokithiri. Nimeishi hapa kwa miaka mingi, Vibaka wote labda wageni wanajua habari zangu hapa mtaani.
Ushauri: Kama wewe ni mtu wa kawaida na hujawahi kupaka msasa "kozi" yeyote ya ukakamavu na matumizi ya silaha basi jifunze hata kutumia "Pepper Spray". It works guys
Asante sana mkuu ,inanibidi nijifunze haraka sana
 
Kwa Tanzania "Pepper Spray" utaipata wapi?
Kwa bahati mbaya Sana kupita kiasi hizo "Pepper Spray" huwa zinatumiwa na hao Watekaji ambao huzunguka huko mitaani kwa ajili ya kuwawinda watu wao wanaotaka kuwateka. Pepper spray zipo mikononi mwa Watekaji Wala hazipo mikononi mwa raia wa kawaida ambao ndio walengwa wakuu dhidi ya vitendo viovu vya kutekwa.
Wauzaji wa silaha ni lazima watakuwa wanauza
 
Kwamba hajawahi kukaa hata mahabusu?,chawa kunguni ni marafiki kwa kila mtu wa mela,kuna muda unajitenga na suruali zako unabinya kamoja kamoja kuwapunguza
Nyumbani kwa chawa na kunguni ni huko chanzo ni uchafu ndio maana sabubi ni Dhahabu kule
 
Akili Yako Ndio Silaha Hatari sana na Bora mnoo Kuliko Silaha Yoyote ile Uliyobahatika Kuifahamu....Jifunze Zaidi Kutumia Akili Yako Kisawasawa.
Hayajakukuta,ama hujishughurishi na michongo yenye kuvutia kuvamiwa,ikiwa hivyo utaona umuhimu wa kuwa na silaha ya moto
 
Back
Top Bottom