TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #21
Akili imekaa sawa 180 degrees kabisa,nitaendaNenda pale kawaone uongee nao vizuri watakupa mafunzo na Silaha utapewa ila zingatia utimamu wa akili km unajijua wewe una elements za ukichaa usisogelee Silaha