Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Tunapoelekea hayo mafunzo ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli wewe unaendaha hata benkNimekwambia Bank hivi una akili wewe ATM ndio Bank? Nimekwambia Bank sio ATM hakuna Bank inayolindwa na mlinzi askari wa kike km yupo basi amewekwa km Observer tu tena hapewi Silaha anakua tu km wahudumu wengine wa bank sio mlinzi likipigwa bomu analala chini km wateja wengine wa Bank hatopambana
Sio Bank tu mpaka Yard za Magari Shell kote nimefika mpaka Ikulu hukuti askari wa kike pale kabebeshwa Silaha eti analinda jiulize kwanini?Hivi kweli wewe unaendaha hata benk
Yaani hujawahi kuona askari wa kike benk?
Anangoja Kutekwa HuyoHadi leo hujui kutumia Silaha?
kwahiyo shabaha ya maelekezo uliopewa jkt ndio unaona ushakua bingwa wa kutumia silaha ?Jkt hukwenda eenh ulikimbia, sasa jitahidi uwe bonge km Tarimo sawa ndugu.
We jamaa aiseeSio Bank tu mpaka Yard za Magari Shell kote nimefika mpaka Ikulu hukuti askari wa kike pale kabebeshwa Silaha eti analinda jiulize kwanini?
Elewa neno askari wa kike aliebeba Silaha wewe unasema wale watoa huduma waliovaa kiaskari ambao hawana tofauti na wafanyakazi wa eneo husika na ambao hawapewi Silaha si ndio?
Niambie nenda Bank X utakuta askari Wanawake wanalinda na Silaha sasa hivi naenda
Hawapo huko kote ulipotaja hawawezi kufanya hio risk ya kuweka mlinzi wa kike mwenye Silaha ni big risk hata rais wako hivi kati ya wale anaotembea nao wanaotamba na mitutu ushawahi kumuona Mwanamke hata mmoja anajitutumua na bunduki mkononi? Sijasema hawawezi but ni big riskW
We jamaa aisee
Yaani unaona kulinda benk ni kazi ngumu eti
Nenda nmb, card, NBC, utawaona wanawake wakiwa zamu na bunduki wanalinda
Wanawake wanafanya escort ya shehena ya dhahabu kutoka Geita, wanalinda benk kuu,
Ije kuwa hizi benk ndogo
Umechagua ubishiHawapo huko kote ulipotaja hawawezi kufanya hio risk ya kuweka mlinzi wa kike mwenye Silaha ni big risk hata rais wako hivi kati ya wale anaotembea nao wanaotamba na mitutu ushawahi kumuona Mwanamke hata mmoja anajitutumua na bunduki mkononi? Sijasema hawawezi but ni big risk
Sijasema hawawezi ila ni big risk kua makini pot unapoenda ku-report tukio hatumwi askari Mwanamke kwenda kumkamata mtuhumiwa ushawahi kujiuliza kwanini?Ume
Umechagua ubishi
Fanya utafiti utawaona wanawake kwenye hivyo vitengo na wanatimiza majumu kama kawaida
Mcheki Paul Makonda, akuelekeze alikojifunza matumiz ya bastola.Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
Naomba niunganishe nae mkuuMcheki Paul Makonda, akuelekeze alikojifunza matumiz ya bastola.
JKT unafundishwa matumizi ya aina zote Za silaha mkuu? Maana mimi wakati nahitimu kidato cha sita kwenda JKT ilikuwa imesitishwaJkt hukwenda eenh ulikimbia, sasa jitahidi uwe bonge km Tarimo sawa ndugu.
Shida yangu ni certificate of competency on firearms use, na sio kingineSiku hizi Kila kitu kipo mtandaoni.Ni wewe tu kuandika unachotaka kukijua.lakini silaha inahitaji umakini sana la sivyo ukiwa sito mvumilivu unaweza kuuza Kila siku.Nunua electric shocker led flashlight self defence torch.Hii ni nzuri kukabiliana na Hawa wahuni wanaoteka hadharani
Chadema inamvuruga akili. [emoji23]Acha ujinga wewe,
Kama haujui hiyo sehemu kaa kimya ili wanaojua wachangie pia wasiojua wapate kujua.
Hayo masiasa yenu yanawachanganya hadi inapelekea kila mada mnaona ni mabishano tu.
Hovyo kabisa wewe.
Kwa Tanzania "Pepper Spray" utaipata wapi?Nenda Tanganyika Arms Limited.
Nje ya mada: Unaweza niuliza chochote kuhusu kujilinda binafsi, matumizi ya silaha flani flani na nyenzo katika kujilinda na matukio ya kimafia.
Kujihami kimapigano ni mbinu na hizo mbinu lazima ujifunze na uzijue kuzitumia, wapi na kwa namna gani, uchague kutumia mbinu gani kulingana na tukio husika unalokutana nalo.
Kwa dokezo tuu: Kanuni ya kwanza unapotaka kujihami dhidi ya hatari yeyote ni ile ya kuwa wa kwanza kushambulia. Unapohisi hatari kuwa wa kwanza kushambulia ndio kanuni ya kwanza, iwe vitani, vibaka, watekaji vyovyote iwavyo hakikisha unakuwa wa kwanza ushambulia kwa namna flani.
Mfano: Naishi kwenye mtaa korofi, wenye umafia na ubandidu uliokithiri. Nimeishi hapa kwa miaka mingi, Vibaka wote labda wageni wanajua habari zangu hapa mtaani.
Ushauri: Kama wewe ni mtu wa kawaida na hujawahi kupaka msasa "kozi" yeyote ya ukakamavu na matumizi ya silaha basi jifunze hata kutumia "Pepper Spray". It works guys