Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Nimesikitika Sana, Ila matendo ya Mungu yalivyo ya ajabu majibu ya huyo mtoto lazima yatoke ni wake,halafu huyo anaedhani ni wake ndio ukute si wake.....mi namshauri aachane na hizo Mambo mtoto ni baraka, huwezi jua atakufaa nn mbeleni
Akikua Baba yake halali atakuja kumchukua. Damu ya mtu haipotei bure. Hata umlee vipi mtoto atakuja kujua ukweli ndipo utajua kuwa nyanya ni matunda na pia ni mboga
 
Kijana anapambana kuhakikisha mzazi mwenzake anakuwa single mother.

Vijana wanakimbia majukumu balaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Baba zetu walizaa nje
Mama zetu walizaa ndani

Cuba graduates wanaelewa๐Ÿ˜€
Dah braza una kauli za kinyonge sanaaa.
Kwahiyo watomban-e tu huko, kwakuwa wakileta watoto nyie mtalea.

#YNWA
 
Nahitaji watoto wa4
2025 natafuta mwengine.

#YNWA
Mkuu acha kuzaa na wanawake wasiojielewa tafuta mke uoe.

Kwanza wewe hupendi watoto hata kama una poryray hivyo.

Mtoto asiyekaa na Baba na Mama mwisho wa siku atakuwa Shoga au msagaji.

Hii comment yangu utaikumbuka baada ya miaka 20 ijayo
 
Kijana anapambana kuhakikisha mzazi mwenzake anakuwa single mother.

Vijana wanakimbia majukumu balaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Baba zetu walizaa nje
Mama zetu walizaa ndani

Cuba graduates wanaelewa๐Ÿ˜€
Hapa sikuungi mkono.
 
Kataa ndoa ndoa ni utapel... sasa baba hiyo laki sita c bora ujipende mwenyew ukapige bia
 
DNA kibongo bongo unatakiwa kuombewa na Ustawi wa Jamii au Mahakama.


Naona Kenya, wanapima mtaani tu kama MRDT
 

Attachments

  • Screenshot_20230504-161815.png
    154.8 KB · Views: 8
Ushauri wangu usimuumize mtoto kama anakukubali na kukupenda
 
Mpinga ndoa kaingizwa chaka na wahuni, kweli nimeamini wahuni sio watu wazuri
 
Hata huyo wa kwanza utakuta sio wa kwako, mara nyingi mwanamke akiwa mjamzito na wewe ukawa unachangia changia protein ni kama kupalilia mbegu, utafanana na mtoto hata kama si baba.
 
Oyaa Lea huyo mtoto atakuja kuwa mtu mkubwa sana Siku za baadae watoto wanaopitia changamoto kama hizo ni madini sana baadae atakuja kukulea huyo mpaka ushangae
Mkuu vipi kama huyo mtoto akishakua mkubwa halafu Mama yake akaja kumwambia kua huyo sio Baba yako mzazi?
 
Mkuu vipi kama huyo mtoto akishakua mkubwa halafu Mama yake akaja kumwambia kua huyo sio Baba yako mzazi?
Una adopt tu anakua wako mazima yanini kusumbua mtoto?
Hayo mambo watu wamepita nayo loong time
 
Dah braza una kauli za kinyonge sanaaa.
Kwahiyo watomban-e tu huko, kwakuwa wakileta watoto nyie mtalea.

#YNWA
Nani kasema?
Nimeongelea past
Leo mambo ni mabaya zaidi kwa sababu mahusiano extreme ndo yamezidi
 
Kama unataka kuufahamu ukweki ni jambo jema, nenda kapime.
Isije mtoto akakua halafu siku ya harusi unasikia baba mzazi asimame, ile unasimama na njemba nyingine nayo inasimama. Halafu unaishoa siku hiyo kujua kuwa kumbe miaka yote ulikua ni baba mlezi tu.
 
Una adopt tu anakua wako mazima yanini kusumbua mtoto?
Hayo mambo watu wamepita nayo loong time
Hujaelewa swali langu!

Utamlea mtoto mpaka awe mkubwa kisha aje kuambiwa na Mama yake kua wewe sio Baba yake halisi,huoni kua mtoto anaweza kuelekea kwa Baba yake mzazi? Huoni kua huyo mtoto anaweza kupunguza imani/upendo kwa Baba aliyemlea baada ya kujua kua he's not his biological father?
 
Lakini binaadam wengine sijui wakoje.

Kwanini unampa mtu mtoto asiye wake??
Kwanini unakataa mtoto na kuweka uliweka??
Kama ulimpenda mhusika mpaka kumpa kavu kwanini usimpe mwanaye???kama kamkataa ndio umpe mtu mwingine??
Vipi haki za mtoto umezingatia???
Vipi mambo yakiharibika utaambia nini watu??
 

Atakuwa mpuuzi sana,wewe unaambiwa baba yako fulani na alikimbia malezi kama mbwakoko halafu ukubwani shobo za kazi gani???
 
We ndio unatengeneza tatizo.
Mi niliambiwa " niache, kwanza mtoto sio wako"
Live.
Nilichofanya mwanamke kabaki kulia mpk leo.
Hao akili zao wanajua wenyewe, we lea watoto hiyo DNA itabadilisha nini?
Akileta ujinga mpe makofi tu anyamaze.
DNA unatafuta sononi tu .
Usilete mrejesho tushakushauri hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ