Ingawa inasemrkana walishapima DNA ma kuonekana mtoto ni wajamaa. Ila hizi mambo za wakipishana ana post ikamlazima jamaa atafute ukweli kwa kwenda kivingine na kupima kwingine ndipo akaliona picha lote lilivyo😃.
Hii ikamstua hata yule mkuu wenu wa wilaya mwenye akili nyingi kuliko vijana wote mchini ma mwenye demu mkali na mwenye akili kuliko madem wote nchini. Yeye pia akalazimika kupima upya kwingine, majibu kutoka hola ma yeye mtoto siyo wake na hapo amesham post sana kwenye mitandao yote anayoimiliki hapa dunoani.
Kumbe kibongobongo kuna kiji kampeni cha siri kuwa ni marufuku kutoa majibu ya DNA yanayoonyesha kuwa mtoto si wababa.
So siku hizi masela wanakata kucha ya mtoto au nywele unaweza ukadhani wanaenda kwa mganga, kumbe haoo wanasepea Nairobi, wakitoka huko tayari majibu ya kweli wanayo😄