Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Mtu akishapanick hua anaropoka ambayo aliyaficha bila kutarajia..

Nina Ndugu yangu aliuwawa tabata ikisingiziwa kajinyonga(jina kumbuka mwenyewe)kifo chake kili trend sana kama mna kumbukumbu

Aliachana na aliyezaa naye, ikawa wakigombana anamuambia
"kwanza mimi ndio najua baba wa mtoto ni nani"

Hio kauli asaivi ndio inaleta shidaa, Mama ndio huyo kafariki, baba akikumbuka mama alichokua anamuambia anaona kbsa huyu sio mwanae,
Baba kakaataa kumlea(hilo sio shida ndugu tunalea) ila mtoto anabaki yatima sasa ikiwa baba tunaimani yupo, Pengne ni mwingine lakini ndio hatutomjua daima, au ni huyu huyu ila aliongea kama kumuonesha dharau, maana kwa hilo halikua shida kwake.

Ni kitu inatuuma ukimuangalia yule mtoto.
 
Mdomo wa huyu mwanamke (mama wa mtoto) HUWEZII KABISAAA ni bomuuuu.

#YNWA
Unamwadhibu mtoto kwa mdomo wa mamaye?
Hivi ukimlea na mtoto akakua akitambua wewe ni babaye utapungukiwa nini?
Ukagundua sio mwanao pia utsongezewa nini?

Fanya kumtunza mtoto kama utumishi kwa Mungu.
Ukiwaza sana mambo haya utagundua umetanguliza ubinafsi.

Ni viumbe wachache watanielewa, wengine wataropoka tu.

Nhona nimwite afisa ustawi wa jamii #nyau# Joannah
 
Utumishi wa Mungu unahitaji hiari lakini siyo kwa kugeuzwa fala na mke wake kwenda kubeba mimba za wengine huko halafu akuletee ndani.
Sssa kuna haja ya kuwa na mtu unayemuita mke hapo? Si afadhali ungeenda labour ujitolee kuwasaidia wanawake waliotekelezwa na waume zao huku wakiwa na uhitaji?
 
Pole Kuna njia 2 ya kwanza mkiriadhiana manenda kwa mkemia mkuu wa serikali unaandika barua ya kuomba kupima DNA njia ya 2 kama Mama hataki unaenda mahakama ya wilaya unafungua kama shauri la kuomba upime DNA mama atapewa barua na mtapewa barua ya kwenda hospital inapofanya hizo ishu sema nasikia mara chache wanasema ukweli kuogopa watoto wa mitaani ila Sina hakika na hilo.
Njia ya pili ni kweli.

Asitarajie majibu ya tofauti akipitia mahakamani, huwa wanazingatia ustawi wa jamii.

Hatopewa majibu mengine zaidi ya kuambiwa ni mtoto wake. Lengo ni kuepusha watoto wa mitaani na wasio na wazazi.

Majibu mazuri ya DNA ni Kwa Nchi za wenzetu uko. Kwa Bongo Bado sababu za kiuchumi na Hali ya maisha kwa ujumla. Wanajitahidi kuepusha watoto WA mitaani wasio na wazazi.
 
INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.

SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.

Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.

Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"

Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.

Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?

THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to let nahitaji kupata ukweli.

#YNWA

Watoto wangu kila mmoja na mama yake.
 
Utumishi wa Mungu unahitaji hiari lakini siyo kwa kugeuzwa fala na mke wake kwenda kubeba mimba za wengine huko halafu akuletee ndani.
Sssa kuna haja ya kuwa na mtu unayemuita mke hapo? Si afadhali ungeenda labour ujitolee kuwasaifia wanawake waliotekelezwa na waume zao huku wakiwa na uhitaji?
Huyu si mke wake.
Huyu Liverpool VPN ni jamii ya #kataandoa#
 
Kama ni mtoto wa kuokota hapo sawa. Huyo kama uwezo unamruhusu na kama haitamletea shida kwenye ndoa yake anaweza tu akamlea as long as hana tena time na huyo Mwanamke.

Hao watoto wa hivyo mimi nalea kiroho safi kabisa. Mradi asiwe mtoto wa mke wangu aliyempata kwenye uchepukaji wake
 
Njia ya pili ni kweli.

Asitarajie majibu ya tofauti akipitia mahakamani, huwa wanazingatia ustawi wa jamii.

Hatopewa majibu mengine zaidi ya kuambiwa ni mtoto wake. Lengo ni kuepusha watoto wa mitaani na wasio na wazazi.

Majibu mazuri ya DNA ni Kwa Nchi za wenzetu uko. Kwa Bongo Bado sababu za kiuchumi na Hali ya maisha kwa ujumla. Wanajitahidi kuepusha watoto WA mitaani wasio na wazazi.
So Diamond alibambikiziwa kwa Mobeto?
Maana jamaa amegoma kabisa kumtambua huyo mtoto
 
INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.

SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.

Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi kuna TATIZO. Kifupi Kuna mambo mengi sanaa yametokea ambayo yanatia mashaka.

Watoto wangu kila mmoja na mama yake. Mwanamke wa mtoto wa pili ni mwanamke mwenye mdomo sanaaa. Na ukitaka siku yako iharibike "Hebu uongelee baba wa huyu mtoto ni nani?"

Hapo mwanzo alipozaliwa nilikataa mimba.
Ila baada ya wazazi nao kuingilia kati ilibidi nimkubali mtoto. Ila sasa Kuna mambo yanaendelea NDIO yananipa utata. Nahitaji kujua ukweli mapema.

Nimeandaa laki 6 kwa zoezi la upimaji DNA
1. Je inatosha?
2. Na procedure ni zipi?

THE PROBLEM.
Moyo wangu umegoma kabisaa kuwa na amani na huyu mtoto wa pili. Before it's to let nahitaji kupata ukweli.

#YNWA
Mnasema mnakataa ndoa sasa imekuwaje na 😅😅wewe huna Ndoa?
 
Kama ni mtoto wa kuokota hapo sawa. Huyo kama uwezo unamruhusu na kama ha8tamletea shida kwenye ndoa yake anaweza tu akamlea as long as hana tena time na huyo Mwanamke.

Hao watoto wa hivyo mimi nalea kiroho safi kabisa. Mradi asiwe mtoto wa mke wangu aliyempata kwenye uchepukaji wake
Kwa mujibu wa maandishi ya Liverpool VPN sio muumini wa ndoa kama hadanganyi hapa
 
So Diamond alibambikiziwa kwa Mobeto?
Maana jamaa amegoma kabisa kumtambua huyo mtoto
Sasa angefanyaje wakati wakipishana kidogo du Dem anakimbilia kump post mtoto wake na wanaume wengine aliopita nao?
 
Kama ni mtoto wa kuokota hapo sawa. Huyo kama uwezo unamruhusu na kama ha8tamletea shida kwenye ndoa yake anaweza tu akamlea as long as hana tena time na huyo Mwanamke.

Hao watoto wa hivyo mimi nalea kiroho safi kabisa. Mradi asiwe mtoto wa mke wangu aliyempata kwenye uchepukaji wake
Mtoto wa kuchukua na kusaidi kule kiroho safi kwa sababu ni maamuzi yako. Sasa hawa wengine wakubambikia unaambiwa wako kumbe una hentya bure tu kuna mwamba analala kiulaini ana kuona wewe fala tu.
 
Sasa wewe una uhakika gani kama hiyo mimba yako
mwenyewe ndio aliniambia. Hakua na sababu ya kuniongopea kwa kuwa mimi sikuwa na mipango nae yoyote alafu choka mbaya tu tofauti na jamaa yake ambae wana mipango ya kuoana na yupo vizuri sana
 
Back
Top Bottom