Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

Zinaanzia kwa afisa ustawi wa jamii.
Wewe ni mpumbavu kwelikweli tena mpumbavu haswa. Ukishapima hiyo DNA ndo itakuwaje? Huoni kuwa utamhukumu mtu asiyehusika na UZINZI WENU?
 
Maneno gani hayo?!
 
In Africa , Fatherhood is social and not Biological. By Prof. Kabudi
 
Zinaanzia kwa afisa ustawi wa jamii.
Wewe ni mpumbavu kwelikweli tena mpumbavu haswa. Ukishapima hiyo DNA ndo itakuwaje? Huoni kuwa utamhukumu mtu asiyehusika na UZINZI WENU?
Amen usiye MPUMBAVU.

#YNWA
 
Hata huyo wa kwanza utakuta sio wa kwako, mara nyingi mwanamke akiwa mjamzito na wewe ukawa unachangia changia protein ni kama kupalilia mbegu, utafanana na mtoto hata kama si baba.
Braza huyu wa kwanza ni purely wangu.
Yaani tunafanana sura, maongezi, kupenda kusoma kifupi NI WANGU.

#YNWA
 
Mpinga ndoa kaingizwa chaka na wahuni, kweli nimeamini wahuni sio watu wazuri
Hakuna chaka lolote nililoingizwa.
Isitoshe tokea mimba nilikua na "dauti" ila wazazi walinilazimisha kukubali.
Ila kwa maneno anayoongea mama ake YANANIPA MASHAKA SANAA na KUNIRUDISHA NYUMA SANAAAA

#YNWA
 
Ukikuta wote siyo wako utafanya nini?
Wa kwanza ni wangu purely.
Ila huyu wa pili banaa MASHAKA MENGI.
Tena hayajaanzia hapa, yameanza na mimba kwahiyo hata nikipewa majibu SIO WANGU, itakuwa "Nilitegemea"

#YNWA
 
Maneno gani hayo?!
Mwanamke ana maneno mengi sanaaa.
Kukubali tu mimba ilikua mbinde.
Ila mmmh huyu mwanamke ana mdomo.

Huwa nawazaga "Hapa tu ni mtoto ametuunganisha ila yuko hivi, je ningemuoa INGEKUAJE HUMO NDANI!?"

Ana mdomo nyie huyu mwanamke.

#YNWA
 
Mwanamke ana maneno mengi sanaaa.
Kukubali tu mimba ilikua mbinde.
Ila mmmh huyu mwanamke ana mdomo.

Huwa nawazaga "Hapa tu ni mtoto ametuunganisha ila yuko hivi, je ningemuoa INGEKUAJE HUMO NDANI!?"

Ana mdomo nyie huyu mwanamke.

#YNWA
Pole
 
Kama unatimiza wajibu karma ni DNA aisee hizi za kwetu hapa kuna tetesi kua ni batili kuepuka watoto wa mtaani.
Kuna bro alisingiziwa mtoto ila hakua na hiyana alitimiza wajibu tu bila lawama. Yule binti alikua anaendelea kuchepuka na baba halisi wa mtoto.
Siku ya siku mambo yalimuendea kombo akafumaniwa, mtoto alipokua hakuwa anafanana na baba msingiziwaji, mwisho wa siku kwa aibu akakiri mwenyewe tu.

Nae alikua na kidomodomo balaa.
 
Mwanaume halisi ni baba, na ubaba haupatikani kwa kuzalisha bali kulea.
 
Huu Mimi naita uchochezi....Please acheni kutia mafuta panapowaka
Na ndio ukweli.

Mwanamke akiamua kuzaa Nje maana yake huyo Mwanamume ambaye amembebea mimba mpaka akazalia na wewe upo upendo wao ni mkubwa sana. Wako connected kiroho.

Watamficha mtoto usijue lakini wao watakuwa wanawasiliana vizuri tu.
 
Mmh! Sijui kwanini wanaume wa kiafrika mnahendekez uzinzi kiasi hiki hadi kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…