Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Betting ni upotevu wa pesa, usijaribu.Labda ubeti maana hata sie wajasiliamali kwa huu muda uliobaki hatujui hata hiyo Christmas tutakulaje.
Ingekuwa kweli kuna mganga anaweza kulainisha mambo fulani, labda ningejaribu. Ila nimeona ni stori tu.Labda ubeti maana hata sie wajasiliamali kwa huu muda uliobaki hatujui hata hiyo Christmas tutakulaje.
Sema kuna watu wana uwezo, ilq kutoa connection ndo kipengele kwao. Aisee hii dunia🥱.Kuna jamaa anahitaji Figo
Sijawahi kukopa. Je, mimi kama Mwanafunzi wa chuo naweza kukopeshwa kama kiasi gani labda?Waweza pia kukopa kama dhamana inaruhusu.
I'm seriousSema kuna watu wana uwezo, ilq kutoa connection ndo kipengele kwao. Aisee hii dunia🥱.
Hii ya figo najua haupo serious.
kasema ni mwanachuoUna kazi gani unayofanya mpaka uwaze kupata kitita kikubwa hivyo kwa siku chache namna hii ?
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo miaka 23, sina kazi yoyote kwa sasa ila ninahitaji mbinu ya kuweza kupata hela hiyo... Najua hakuna kisichowezekana.Una kazi gani unayofanya mpaka uwaze kupata kitita kikubwa hivyo kwa siku chache namna hii ?
Dah pagumu kweli kwelikasema ni mwanachuo
Hapa unanipoteza😂😂😂, labda kuroga😂😂😂😂.Njia pekee uliyonayo ni kuiba.
nimempa deal la FigoDah pagumu kweli kweli
Mkuu we huna mbinu yoyote uliyotumia ukapata milioni mbili kwa siku 17?Dah pagumu kweli kweli
Hili dili la figo nimelipiga chini, na naelewa pia haupo serious.nimempa deal la Figo