Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

Bila shaka ni wa kutokea hapo daslama ba ukakutama na chombo ukahongaaa 😂😂
Aaah wapi, kwamba uchanganywe na chombo uhonge milioni mbili?

Ni harakati mbalimbali za ujana😂☠️.
Jinsia gani?

Kama ni mwanamke prostitution ndio biashara inayolipa kwa haraka haraka. Wikiend nenda kwenye club za watu wenye hela pambana uingie ndani.

Kama ni mwanaume tafuta washkaji wako hata wawili unaowaamini fanyeni mazoezi ya kutumia bunduki hata wiki moja tu, angalieni series za robbery mfano money heist ili kujifunza mbinu. Baada ya hapo choreni ramani ya kuvamia tawi la benki ambalo lipo kwenye eneo rahisi kukimbia mkishachukua mkwanja
Hakuna njia nyingine tofauti na wizi?
 
Ikiwa Leo ni tarehe 16,Disemba Bado siku 15 kumaliza mwaka huu,hivyo basi Weka mkakati wa kufanya yafuatayo.
1.Fundraising/changizo kama una genuine case jaribu kuwashirikisha ndugu na jamaa wakusaidie.Ikiwezekana ainisha watanufaikaje.

2.Biashara ya udalali kuuza magari
Naona unakuja💫.
 
Njoo nikupeleke chimbo flani, ni trip Moja tu mil 2 Yako hiyo hapo. Ila una roho ngum?
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo miaka 23, sina kazi yoyote kwa sasa ila ninahitaji mbinu ya kuweza kupata hela hiyo... Najua hakuna kisichowezekana.
Taja jinsia kama ni ke chap nakupa ila itabidi uitumilie
 
Tafuta od za point 2 yaan ile 3.15 na 2.32 mpe ushind huyi mkeka mmoja mpe yule mkeka mmoja mmoja weka milion unahuhakila na m 3 au m2 kwa maana akishinda wa home au away wakidraw jiue mzee kunywa sumu
 
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.

Nahitaji pesa, pesa, pesa.

NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Hauna hata mtaji tukupe biashara ya kutoboa ?
 
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.

Nahitaji pesa, pesa, pesa.

NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Uza mishkaki 4,000 kwa shilling 500 utapt 2mill yako. Over
 
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.

Nahitaji pesa, pesa, pesa.

NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Kamata ukuta.
 
Back
Top Bottom