Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

Mkuu we huna mbinu yoyote uliyotumia ukapata milioni mbili kwa siku 17?
Dili zipo ila mpaka unakuja hapa jamvini sio mtu unaeweza dili zangu ili upate kiasi hiko na zaidi mdogo wangu .
Wenye uthubutu huo uwa tunakutana field kama ghfla bin vuu tunaishia kuitana mwamba maana hata kumuita mdogo wangu nashindwa sababu wamevuka viwango vya ujasiri wangu ,sababu katika umri wangu bado sikuweza kuzifikia sehemu za hatari kama zile mpaka pale nilipoongezeka .

Umenipata kaka ? Fumbo la imani je unataka kujua ni issue gaani hiyo ? Basi ni ngumu kuijua maana kwasasa ngujiro ni wengi kila mahali wasijekudaka bure mdogo wangu ,timiza ndoto za wazazi nyumbani kwanza .

Sorry maelezo mengi ila ulanzi nao ni pombe na inanikubali haswa .
 
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.

Nahitaji pesa, pesa, pesa.

NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Mtoto wa Samia anaitwa Abdul Diddy anahusika na kuwapatia vijana kadhaa pesa.
 
Dili zipo ila mpaka unakuja hapa jamvini sio mtu unaeweza dili zangu ili upate kiasi hiko na zaidi mdogo wangu .
Wenye uthubutu huo uwa tunakutana field kama ghfla bin vuu tunaishia kuitana mwamba maana hata kumuita mdogo wangu nashindwa sababu wamevuka viwango vya ujasiri wangu ,sababu katika umri wangu bado sikuweza kuzifikia sehemu za hatari kama zile mpaka pale nilipoongezeka .

Umenipata kaka ? Fumbo la imani je unataka kujua ni issue gaani hiyo ? Basi ni ngumu kuijua maana kwasasa ngujiro ni wengi kila mahali wasijekudaka bure mdogo wangu ,timiza ndoto za wazazi nyumbani kwanza .

Sorry maelezo mengi ila ulanzi nao ni pombe na inanikubali haswa .
Kwahiyo hiyo deal, hutaki kuniingiza kabisa🥱. Nahitaji sana pesa bro, Nahisi hata Freemason ingekuwepo kweli labda ningekuwa Devil Worshipper. Money, Money, Money.
 
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.

Nahitaji pesa, pesa, pesa.

NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Chapa mkeka wa maana odd za kutosha tia jero...
 
Back
Top Bottom