MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Dili zipo ila mpaka unakuja hapa jamvini sio mtu unaeweza dili zangu ili upate kiasi hiko na zaidi mdogo wangu .Mkuu we huna mbinu yoyote uliyotumia ukapata milioni mbili kwa siku 17?
Mtoto wa Samia anaitwa Abdul Diddy anahusika na kuwapatia vijana kadhaa pesa.Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.
Nahitaji pesa, pesa, pesa.
NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Kua Ngariba..Nahitaji pesa, pesa, pesa.
Mawazo kama haya nomaKuna jamaa anahitaji Figo
Kwahiyo hiyo deal, hutaki kuniingiza kabisa🥱. Nahitaji sana pesa bro, Nahisi hata Freemason ingekuwepo kweli labda ningekuwa Devil Worshipper. Money, Money, Money.Dili zipo ila mpaka unakuja hapa jamvini sio mtu unaeweza dili zangu ili upate kiasi hiko na zaidi mdogo wangu .
Wenye uthubutu huo uwa tunakutana field kama ghfla bin vuu tunaishia kuitana mwamba maana hata kumuita mdogo wangu nashindwa sababu wamevuka viwango vya ujasiri wangu ,sababu katika umri wangu bado sikuweza kuzifikia sehemu za hatari kama zile mpaka pale nilipoongezeka .
Umenipata kaka ? Fumbo la imani je unataka kujua ni issue gaani hiyo ? Basi ni ngumu kuijua maana kwasasa ngujiro ni wengi kila mahali wasijekudaka bure mdogo wangu ,timiza ndoto za wazazi nyumbani kwanza .
Sorry maelezo mengi ila ulanzi nao ni pombe na inanikubali haswa .
Miaka 23 si mdogo, Kijana mkubwa kabisa.Gen z mko speed sana
Mawazo ya ******* kama yako ndo sikuyataka, kichwa chako kimejaa mavi.Mtoto wa Samia anaitwa Abdul Diddy anahusika na kuwapatia vijana kadhaa pesa.
WatagMtafute haszu au yule anaempenda kiranga watakupa mbinu hadi za kupata milion 10 kwa siku
hio ni deal la chap anapata zaidi ya 2MMawazo kama haya noma
Unaanzisha thread ya ******* unategemea kujibiwa sensible responses, we welcome you exactly the way you come. It's a damn free forum.Mawazo ya ******* kama yako ndo sikuyataka, kichwa chako kimejaa mavi.
Hahahaha ila ni kweli, yeye anataka 2m na kazi hana sema haina nomahio ni deal la chap anapata zaidi ya 2M
Chapa mkeka wa maana odd za kutosha tia jero...Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.
Nahitaji pesa, pesa, pesa.
NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale wanaokomenti ujinga mkimbie uzi huu.. Nimemaliza.
Auze bikra?Kama demu tafuta wateja kama wa kiume mhhh