Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

Bila shaka ni wa kutokea hapo daslama ba ukakutama na chombo ukahongaaa 😂😂
Aaah wapi, kwamba uchanganywe na chombo uhonge milioni mbili?

Ni harakati mbalimbali za ujana😂☠️.
Hakuna njia nyingine tofauti na wizi?
 
Naona unakuja💫.
 
Njoo nikupeleke chimbo flani, ni trip Moja tu mil 2 Yako hiyo hapo. Ila una roho ngum?
 
Zimebaki siku 15 Hadi mwaka kutisha,
Tafuta KAZI ya kukuingizia 133,400 Kwa siku
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo miaka 23, sina kazi yoyote kwa sasa ila ninahitaji mbinu ya kuweza kupata hela hiyo... Najua hakuna kisichowezekana.
Taja jinsia kama ni ke chap nakupa ila itabidi uitumilie
 
Tafuta od za point 2 yaan ile 3.15 na 2.32 mpe ushind huyi mkeka mmoja mpe yule mkeka mmoja mmoja weka milion unahuhakila na m 3 au m2 kwa maana akishinda wa home au away wakidraw jiue mzee kunywa sumu
 
Hauna hata mtaji tukupe biashara ya kutoboa ?
 
Uza mishkaki 4,000 kwa shilling 500 utapt 2mill yako. Over
 
Kamata ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…