Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Iv mpaka miaka 28 msichana ujaolewa ulikua unafanya nin? alaf hakuna hunters wanaokuwinda hadi ujirahisishe mtandaon? au ndo akina Miss Buza!!
 
Ukihitaji wafupi utanistua


Tangawizi nyingi pamoja na limau
 
Ushauri kwa mabinti mnaotafuta wenza, kwenye kigezo cha kusema huna mtoto au hujazaa; napendekeza muwe mnafafanua vizuri, iwapo ulishawahi toa na umetoa ngapi hizo mimba, au je zilikua zinagoma kunasa au ulikua muumini wa condom.
Hili nalo la msingi, hata wanaume linawahusu
 
safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah Aisee, We are too Expensive[emoji1]
ila shangaa kuna wadada wakisemeshwa wanavuta mdomo na hawana dalili za kuolewa hata [emoji38][emoji38]

Wewe unawaacha tuu watabatuliwa papuchi mpaka wachoke alafu watu hawaweki kambi
 
Mimi ni miongoni mwa aliyepata mke humu jamiiforum japo kuna ambao tulianza vizuri na kuishia katikakati. Nilichogundua ni wanaume wengi wanaotafuta wachumba hapa wanasema ukweli na pia hawaji na id mpya.
Ila wanawake wanaotafuta wachumba humu wengi ni waongo sana na ndo maana wanakuja na id mpya.
Mungu ametujalia watoto watatu sana na kuna kijacho wa nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…