Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

kila la kheri mkuu mimi namsubiri baby pujo naona ananikaushia tuu ombi langu wakati nina kila kigezo cha kua mume wake halali kabisa.
 
Tatizo lenu mnamaswali km vile mtu anatafuta ajira..

Utaskia kabila lako..

Kazi yako..

Majina yako..

Elimu..

Yani paka unapoteza hisia kabisa. Unaanza kuhisi upo kwny intaview ya kazi
 
Kuwa na subra gonjwa hili la vorona lipite mama. Unaweza olewa baada ya mwezi mme anapatwa na corona anakufa. Unaanza tena upyaaaa kutoa matangazo ya kutafuta mme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief Sam,mm nashindwa kuelewa kwann wanawake wanapenda wanaume warefu,mfano,mm Nina futi 7.2,ninapovaa nikapendeza,huwa naona wanawake wengi wakiniangalia sana,kwa kweli najihisi kutokujiamini napokuwa natembea njiani.
Tangazo lako wameliona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…