katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Ok hongera!sifa zote sina kwa weli
ila kama kweli uko siriasi na wakukuna kunakotukuka nipm
ni mimi wako mwanaume mashine
[emoji3]
kwaio umekubali au?Ok hongera!
Hapana niko serious na hilo tangazo, hayo masikhara ya mashine nk[emoji2368]kwaio umekubali au?
kwaio kiufupi umeniponyoka sioπHapana niko serious na hilo tangazo, hayo masikhara ya mashine nk[emoji2368]
Wewe wasema..kwaio kiufupi umeniponyoka sio[emoji16]
Una mvuto wa sura na akili ?Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Naamini kila mtu ana mvuto wa aina yake, sasa sijui ndyo unamaanisha?, mvuto wa akili huu unakuwaje.Una mvuto wa sura na akili ?
Are you the type of person who adds value to your man or else ?Naamini kila mtu ana mvuto wa aina yake, sasa sijui ndyo unamaanisha?, mvuto wa akili huu unakuwaje.
Ok well , i can't say I'm or not ila nnachoamini hakuna mwanamke asiyependa kuwa part ya mafanikio ya rafiki,mumewe hata kwa mchango wake mdogo aliojaaliwa mfano ideas,tulizo la mwili na akili nk. Kama ni huo mvuto wa akili basi wote wanao.Are you the type of person who adds value to your man or else ?
Mmh si uwanja wa ngumi.Ma siksi paki, mavifua ,mapushapu ,mamisuli ka mwili flani chakujazia vile ataeza endo zile moja na mbili, wakati mnanyoosha migongo dada angu vp izo kategori na wenyewe pm yako inawahusu ili wasidevele
Mmh si uwanja wa ngumi.
Mkuu Single tupojf Hamna mwanaume Single..
πMkuu Single tupo
Sidhani mwanamke anayejua mumewe anaingiza elfu 5 kwa siku , halafu kila week mwanamke huyu anataka kubadilisha misuko ya nywele ana mchango wa maendeleo kwa mumeweOk well , i can't say I'm or not ila nnachoamini hakuna mwanamke asiyependa kuwa part ya mafanikio ya rafiki,mumewe hata kwa mchango wake mdogo aliojaaliwa mfano ideas,tulizo la mwili na akili nk. Kama ni huo mvuto wa akili basi wote wanao.
Usitusemeeejf Hamna mwanaume Single..