Mtoto wa miezi hiyo si itabidi umhudumie akiwa kwa mama yake mzazi kwanza kisha umchukue akiacha kunyonya? Pia utamlea wewe mwenyewe au una mwenzi wa kukusaidia?Kusema ukweli nahitaji mtoto wa kike au wa kiume umri kuanza mwezi 1 hadi miezi 6, tatizo nililo nalo siwezi kulizungumzia hapa, ila naomba msaada namna ya kumpata, nafahamu vipo vituo vya watoto yatima, sitaki kwenda huko nahitaji nampataje sitaki process zote za serikali za kurithi maana zina mlolongo mkubwa. Je kuna uwezekano wa kumpata kwa namna gani,
Niombe nisiulizwe swali kama HUNA KIZAZI UZAE, MTAFUTA MKE UZAE NAYE...
Fuatilia kwa ndugu wa karibu ili uwe na uchungu nae
[/QUOTE
Agenda ya siri😊Sasa kama unaogopa mlolongo jinsi ya kumpata kupitia orphanage je kwa njia unayotaka wewe unadhani haitakuwa na mlolongo..?
Fuata mlolongo mzima ili upate kumlea kisheria pasipo mizengwe wala matatizo yatakayokuletea shida badae.
Otherwise Kama una mambo yako mengine nyuma ya pazia.
Pa kumpata sasa, maana sihitaji anisumbue kuhusu mtoto akishanipaUna ajenda gani na huyo mtoto? Tafuta single M mwenye mimba ulee, au tafuta mwanamke apewe mimba na mwingine ulee.
Agenda ya siri😊
Yote sawa, akiacha kunyonya namchukua nimpe mama yangu kwanza akikua kabisa ndio ntakaa naye na housegirlMtoto wa miezi hiyo si itabidi umhudumie akiwa kwa mama yake mzazi kwanza kisha umchukue akiacha kunyonya? Pia utamlea wewe mwenyewe au una mwenzi wa kukusaidia?
Tz ni pesa tu. Mimi binafsi kuna wadada wengi sana wanataka kuzaa na mimi sababu wanajua nina $$ na nitawahudumia. Sasa hapo fanya tu hivyo. Tumia $$ yako ikusaidie. Kama una tatizo la fertility, ongea tu na msichana au chagua pia mwanaume mwenye mbegu nzuri akusaidie kwa hiloYote sawa, akiacha kunyonya namchukua nimpe mama yangu kwanza akikua kabisa ndio ntakaa naye na housegirl