Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

natafuta ambaye anayedai hakuwa na mpango na hajapenda kuwa nayo(ye) maana hakupanga huyo atakuwa amenipa kwa moyo mkunjufu
 
Kama unapesa hii inshu rahis sana,maana sku hz wanawake wanazaa hovyo hovyo kama mifugo,andaa million mpe singo mama Mdogo ambae itabid umsafirishe umuweke mbali na kwao umtunze hata KWA miaka 3 baadae ndo muachane
namna hii ni kama kumuadhibu
 
Wewe ni ME au KE?

Huyo mtoto kuna mtu kaweka mbegu,huwezi ongea na huyo msichana tu mkamalizana kienyeji namna hiyo maana huyo alieweka mbegu hajaridhia!

Hiyo itakuja kua kesi,aidha sasa hivi kutoka kwa huyo mtu au huyo mtoto akiwa mkubwa atawashika nyote wawili,wewe na huyo dada!

Heri utafute mtoto kwa mbegu zako mwenyewe kama zipo!

Kama huna pitia legal procedures kupata,na sio kienyeji namna hiyo
 
mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe
Unaharaka kuliko Mwenye mtoto yaani 5-8 aaaah kuwa na subira bhana tafuta surrogate muingie mkataba umlipe na kumuhudumia from day1 then akijifungua anakupa mtoto wako
 
Ulivyojieleza inaonekana una matatizo, kama huna wanawake wapo wengi, pachika mimba chapchap, iwe damu yako. Usilete damu ya nje kwenye ukoo. Kama una tatizo poa, Mungu akusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…