Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Unafanya ngono halafu hukutarajia Mimba?
 
Dunia itakuwa sehemu salama sana ya kuishi ikiwa kil mtu atafanya hivi. Mwanaume wangu ana msemo wake kuwa β€œshahawa zake zinathamani sana hawezi zipeleka kila mahali” na hivyo hivyo wanawake wanamuonaga anaringaaaa!

Namtaniaga na ungekuwa mzuri wewe tungekoma! 🀣
 
Binadamu tuache uongo uongo, uongo ni mzizi wa 80% za madhambi, maovu na matatizo yote.
ni kweli kabisa lakini hata mwanaume nae Upofu ulimpata,Nyege haziwezi kukuacha na milango yote ya fahamu inafanya kazi lazima kuna milango inakua disabled.

Mwanaume kilichompeleka kwa huyo mwanamke alihisi ni mrahisi/mwepesi hivyo ni sehemu ya uhakika yeye kutimiza malengo yake.

na wakati akianza mfukuzia,anakua hawazi haya aliyoandika hapa "anakua real kabisa" ila sio yeye ni NYEGEZI tu, baada yamatokeo ndio anarudi in his sense sasa! Mambo yashaharibika upande ule.
 
Mbinguni mtafika mkiwa hoiiiiii!
 
Mtunze mtoto asiye na hatia.. mlindeni malaika asiyeweza kujitetea.. ni heri umuue mtu mzima ambaye kwa vyovyote vile ana dhambi kibao kuliko kumgusa huyo malaika.. watu wanaita eti Mimba badala ya unborn baby.. Ili kuhalalisha uovu na ukatili pale wakipata kisingizio. Kila mtu aliye hai ambaye aliwahi kuwa Mimba , akalindwa akazaliwa anapaswa kulinda uhai wa Mimba by any cost. Wewe ulikuwa Mimba pia ukatika salama tuache na tuwape nafasi wengine watendewe vivyo hivyo.
Tuache uzinzi.. halafu baada ya uzinzi wetu tunaadhibu kwa kuwanyonga kikatili wasio na hatia.
Sijasema umeua ila nataka wewe na wengine msijadili juu ya uhai alioutoa Mungu. Uzinzi ni dhambi ila Mimba sio Dhambi. Tubu dhambi ya uzinzi, Fanya malipizi kwa kumlea mtoto kwa upendo.
 



Tanzania ya viwanda hii, na hawa ndo watasimamia viwanda.?
 
Kama anayo, usitoe mimba tafadhali.

Kama haupo tayari kumuoa, ikithibitika ana mimba ongeeni na umweleze wazi haukuwa na mpango wa kumuoa.

Ila mtoto na mama uwajibike kuwahudumia mahitaji yao ya msingi.

Hongera sana, mkuu.
 
Muweke ndani keshakua mkeo.
Ukijitia Machi noo atakuendea kwamsisi na utakua hanithi. Nawajua wanawake flat screen, unamkosea yeye kwamsisi. Kibaya zaidi mlifanya Mara nyingi hivyo si ajabu anazo sperms zako kwenye kichupa just in case ukileta kujua.
Consider yourself a married man with a pregnant beautiful wife and one kid.
 
Sasa utakuwa ajeπŸ˜”
 
Oya katika wajinga ww ni mjinga wa kwanza usidharau sehemu ulipomwaga uchafu wako vijana wa skuhizi mmekua wangese sana mjue unawezaje kusema mtu anasura mbovu kama uliyaona hayo kwann nyege zikupelekeshe.

Kiufupi ww ni mpumbavu alafu ikatae hiyo mimba uone laana zake. Ulishindwa kutuliza mbupu jiandae kua baba wa mtoto kwa mama usiempenda.

Umemchambua huyo mwanamke kama vile mama yako ni mzuri sana wakati sote tunajua baba yako alivumilia tu kama ww unavyotakiwa kuvumilia. Watoto wa masingo maza ndio mnakua na akili za kipumbavu sana ungekua na baba ww angekufundisha uanaume sio hio ushoga unaotuelezea hapa
 
Umeandika kama haupo serious
 
Sasa unalialia nn uliyataka mwenyewe lea mimba dogo usikimbie majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…