Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.

Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway, they don't know why I need to be fluent.

If you need someone to speak english with even on the phone or face to face and learning together, then am here.

If interested, please dm me

Gender : Male
Age : 25
Way of learning : listening to podcast, interview, online class, watching movies and reading
Cheki na hamorapa
Strong woman
 
Gender : Male
Age : 25
Way of learning : listening to podcast, interview, online class, watching movies and reading
Ungekuwa KE ungepata watu wa kutosha kufanya nao mazoezi.

Ila kila la heri, natumai wanaojua watakufuata DM.

Ukitaka kujifunza kinyakyusa, mimi nipo hapa.
 
Hapo naona saa hii utakuwa na accent ya waingereza 😁... Nina fluency ya kueleweka Ila sina kiingereza cha kutisha katika mazungumzo ya kawaida. St. Kayumba imeniharibu

Congrats pia mkuu maana lugha ni muhim sana kwa baadhi ya fursa
Mzee wangu ali kuwa kampuni fulani kakola, na wali kuwa Wana pewa vitabu vya kiingereza.

Hivyo nime anza kukisoma mapema, kuhusu madili labda kupatia mademu😂😂
 
Hii ni baada ya kukutana na huyu shemeji yenu aliyenifanya niandike uzi huu.

Siko tena emotional. Sicheki, kukasirika labda kutabasamu.

Mimi kuna kipindi nilikuwa naona dunia haina maana. Nilikuwa sili kabisa.

Nishawahi uguza mdada watu wiki mbili, nalisha, ogesha, valisha gharama zote juu yangu. Ila sasa nilichoambulia ni hatari.

Mi nshajiharibu kisaikolojia. Na sitaki kupona.

If you will decide to focus on money, food and hobbies, all these fu*king post won't exist.

🏃‍🏃‍♂️🏃🏃‍♂️🏃‍🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.

Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway, they don't know why I need to be fluent.

If you need someone to speak english with even on the phone or face to face and learning together, then am here.

If interested, please dm me

Gender : Male
Age : 25
Way of learning : listening to podcast, interview, online class, watching movies and reading
Acha utumwa wa akili, badala ujifunze computer programming?
 
If you will decide to focus on money, food and hobbies, all these fu*king post won't exist.

🏃‍🏃‍♂️🏃🏃‍♂️🏃‍🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Haya bwana.
 
Kuna app sio za kudate unaweza kupata Marafiki mbambali kutoka mataifa mbalimbali mkawa mnapigiana na kugonga story, Mimi nilipata rafiki wa kike kutoka USA wakiume kutoka Netherlands kama sijasahau na Braza mwengine daktari kutoka India.

Tunapiga stori kwa English ilimradi kuimprove English yangu na wao nilikuwa nawafundisha kiswahili maneno mdogo mdogo , vilevile Kuna language clubs watu mbalimbali mnakutana mnajadili live topic Fulani ...
 
Back
Top Bottom