Nahitaji mume mwema jamani

Binti waume wema JF wapo wee ambatanisha CV yako ya masuala ya uchumba na mapenzi kwa ujumla in A4 format na passport size tatu za karibuni...
 

Vp ulishapata mume ? kama bado nipm nijue uko serious mi nimejitokeza kwa kuchelewa kuepusha msongano awali. Nipm tuwasiliane
 
Check me at(abinalakipake@yahoo.com) ninatafuta mke wa kuoa Seriouz
 

Ungeniwahi mimi maana hapa niko brand new ukichelewa nitakuwa USED
 

nutumie taarifa zako muhimu
 
Wewe unataka mwanaume mwema. Je wewe ni mwema pia?
 
Asante kwa mchango wenu, hata mimi nasali. Nimejjijua kwamba ni mke mwema kwa kutumia standard ya biblia

Kama na wewe unasifa zifuatazo ni PM:-
1. portable
2. mrembo
3. una fedha kiaina
4. huna mtoto
5. huna magonjwa ya kurithi wala ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…