Nahitaji mume nipo serious, itapendeza kama akiwa ni mwanasheria

Mimi pia ni muhitaji na vigezo ninavyo, hivyo naomba uni check. 0719913828. Niko serious please!
 
Duuh nina pdD ya law sasa ww elimu yako ni ipi weka picha tafadhali
 
Unavaa brah size gani....[emoji41] [emoji41]
 
Mi fundi wa vìgae vip nina nafasi
 
Unataka mwanaume mwanasheria, kwani unataka kuandika KATIBA MPYA?
 
Wapo Posta kibao.
 
Hata mahakamani unawapata
 
Nadhani amekuelewa akili yake imekaa ktk vigezo vya mne mtarajiwa wkt kuomba kwa Mungu amefeli.

Lazima akubali kuwa mme mwema anapatikana kwa Mungu, wala sio humu jf.
Kama unalijua hili Wewe humu Jf umefuata nini.Mungu amesema Jisaidie nami nitakusaidia.Jf ni watu kama wa mtaani.Acha kujifanya hujui.Na Atapata mpaka uje uone Aibu
 
Sheria kitu gani ?we sema awe na hera tu. kusomea sheria c chochote mbele ya pesa.
 
Me ni mwanasheria ila nina kibamia, vp utanikubal? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Una kesi gani ngumu hiyo???
Awe mwanasheria... mmmhh
 
Awe anaishi wapi,au ni hapo dar.
 
Njoo kwangu namalizia school of law, upo tayar?
 
Unavaa jeki size gani....[emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…