Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kama mie tu, bila usaidizi wa simu mpaka leo ningekua na ngwakwa
Nakwambiaje humu wamejaa wapiga nyetto Ni vile wanaleta kujikuta watu wa kuwala mademu.
Trust Me Komred ktk Programming .... Nyetto ni taifa Kubwa humu ndani.
 
Yupo ana watoto wawili nikupe???
Tuma kwanza laki moja tuone kama pesa ipo kweli isijekuwa wa kusikilizia ishu
 
Mwanamke awe na miaka yale 40, tena bila virus vya ukimwi.plus hela yake na shape yake na tako juu.aje adate kijana wa miaka 28 kweli?

Wanawake wa umri huo nao wanataka wazee wenzao wapumzike
Pambana na wenzio wa 2000 mpeane stress na uti huko
 
Mwanamke awe na miaka yale 40 .tena bila virus vya ukimwi.plus hela yake na shape yake na tako juu.aje adate kijana wa miaka 28 kweli??

Dooooh
 
Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.

Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba zangu umpe.

Vigezo. Awe na shepu mzuri sanasana awe na kalio kubwa sipendi vibibi vimodo.

Pia awe na uwezo wa kuja nilipo nauli nitamtua sipendi matapeli.
Pesa iko ya kutosha mkoa wowote.

Mimi.
Nina 28 year ni mfupi mweusi.
Vigezo zaidi pichani.

🀣🀣pia hata wewe ndugu msomaji mwanajamvi mwenzangu unaweza nisaidia pia, kama unamuonaona mmama yupo tu mtaani na hana tabu fanya kwa kuniibia namba zake nitumie PM nitatililika mwenyewe. Na sitakutaja nitakuja kukushukuru baadae.πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ™
😲
 
Mwanamke awe na miaka yale 40 .tena bila virus vya ukimwi.plus hela yake na shape yake na tako juu.aje adate kijana wa miaka 28 kweli??
Wanawake wa umri huo nao wanataka wazee wenzao wapumzike
Pambana na wenzio wa 2000 mpeane stress na uti huko
Yesu...πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Kuishi. Ila cha kwanza nikuzagamuana.
AKA kumuonja kwanza. Ila na yenyewe point. Usije jichanganya kumbe hamna kitu. Ila sasa hako ka umri na mtu wa miaka hiyo dogo! Mbona sekeseke! Ujue huyo anakuchora hadi unyayo
 
Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.

Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba zangu umpe.

Vigezo. Awe na shepu mzuri sanasana awe na kalio kubwa sipendi vibibi vimodo.

Pia awe na uwezo wa kuja nilipo nauli nitamtua sipendi matapeli.
Pesa iko ya kutosha mkoa wowote.

Mimi.
Nina 28 years ni mfupi mweusi.
Vigezo zaidi pichani.

🀣🀣pia hata wewe ndugu msomaji mwanajamvi mwenzangu unaweza nisaidia pia, kama unamuonaona mmama yupo tu mtaani na hana tabu fanya kwa kuniibia namba zake nitumie PM nitatililika mwenyewe. Na sitakutaja nitakuja kukushukuru baadae.πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ™
Unataka vikongwe 😝😝😹😹alfu ww 28 utapigwa makofi hadharani ww πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom