Wewe Changamoto zangu unazijua? Wakuu nimeleta Mada ili nimpate nimtakae na siyo Kuhojiana au Kung'ang'ania Mambo ambayo naona kwa sasa hayana Umuhimu.Kaka yangu tatizo lako si umasikini ulio nao bali ni changamoto ulizo zipitia ndio zimekufanya uamini hivyo kwamba umasikini umasikini sasa nakuambia nyenyuka futa magoti ndende yalio pita yamepita
Tena na Smartphone kaliYaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Sisi ni wanaume wenzio huna haja ya kupanic brother naona nimekugusa ok kila la kheriWewe Changamoto zangu unazijua? Wakuu nimeleta Mada ili nimpate nimtakae na siyo Kuhojiana au Kung'ang'ania Mambo ambayo naona kwa sasa hayana Umuhimu.
Kama unajua Wewe labda ni Mwanaume au Uzi huu haukufai tafadhali ni vyema ukakaa tu kimya na uwaache wenye nia na Kuhitaji waweze Kuwasiliana nami.
Acheni Kuniharibia huu Uzi wangu kwa Kukazania tu Mimi kusema ni Masikini na nina Changamoto.
Kwani haya mengine unayoniuliza na ambayo huenda kwa bahati mbaya nimesahau Kuyaanika huyo mwenye Nia akinitafuta kupitia hiyo Email Address yangu niliyoitoa hapo hatoweza Kufahamu yote na mengineyo?Mkuu hujasema kama una mtoto au lah, isijekua bibie anakuja anakuta una familia.
Na vipi wewe unataka mwanamke mwenye mtoto/ asie na mtoto au yeyote tu ilimradi ni maskini na anataka muinuke pamoja.
Sasa kama Wewe ni Mwanaume Mwenzangu masuala ya Mimi kusema ni Masikini na nina Changamoto zangu Wewe yanakuuma au Kukukera nini? Kidogo ungekuwa ni Mwanamke ningekuelewa ila cha Kunisikitisha na Kunishangaza Wewe ni Mwanaume ( Dume ) je, nikueleweje labda?Sisi ni wanaume wenzio huna haja ya kupanic brother naona nimekugusa ok kila la kheri
TECNO F1 ya Tsh 150,000/ niliyoinunua Miaka Mitatu Minne iliyopita ni Smartphone Kali? Uharibikiwe kwa Kunisanifu Mkuu na Hongera yako Wewe mwenye Simu ya Milioni Tano.Tena na Smartphone kali
Tatizo umepanick na bahati mbaya zaidi kila anaekuuliza unahisi anakuuliza kuhusu umaskini wako. Ni wapi nimeuliza kuhusu umaskini wako au umejistukia mkuu??Kwani haya mengine unayoniuliza na ambayo huenda kwa bahati mbaya nimesahau Kuyaanika huyo mwenye Nia akinitafuta kupitia hiyo Email Address yangu niliyoitoa hapo hatoweza Kufahamu yote na mengineyo?
Kinachonishangaza wengi mnaoulizia kuhusu Umasikini na Changamoto zangu ni Wanaume Wenzangu na isitoshe hakuna mahala popote pale katika Maelezo yangu nimemlazimisha au nimelazimisha Mwanamke au Wanawake Kunikubalia.
Kwaiyo kuperuza JF inakuondolea umaskini na tayari wewe ni tajiri,Yaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Asante mno Tajiri.Pole Sana masikini ..
Huchoki tu Kusumbuka na Mimi Mkuu?Tatizo umepanick na bahati mbaya zaidi kila anaekuuliza unahisi anakuuliza kuhusu umaskini wako. Ni wapi nimeuliza kuhusu umaskini wako au umejistukia mkuu??
Hiyo aya yako ya kwanza inajibu vizuri kabisa nilichokuuliza hiyo aya ya pili haihusiani na nilichouliza.
Was a Joke mkuuTECNO F1 ya Tsh 150,000/ niliyoinunua Miaka Mitatu Minne iliyopita ni Smartphone Kali? Uharibikiwe kwa Kunisanifu Mkuu na Hongera yako Wewe mwenye Simu ya Milioni Tano.
Likiwa ni jina langu halisi au siyo Wewe linakuathiri nini katika huu Uzi wangu na hasa ukizingatia kuwa Wewa ni Mwanaume / Dume?Wee ni Caludgi ama Caludji ama jina la kuchonga?
View attachment 2098721
Siko hapa Kutaniana na wala sihitaji Utani ila kama nyie Wanaume wenzangu mna Mpango wa Kuniharibia huu Uzi wangu kwa Hoja zenu zisizo na Tija juu ya kile ninachokihitaji hapa basi sawa?Was a Joke mkuu
Kwani degree za bongo ni lolote sema tu basi.........Unawajua maskini kweli mkuu..
Mtu una degree unajiita maskini ajabu sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhana kama kuna maskini ambaye anatumia hela yake kuperuzi jf akitafuta nkeKwaiyo kuperuza JF inakuondolea umaskini na tayari wewe ni tajiri,
Elimu ni kitu cha muhimu sana kwa jamii