Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Yawezekana Wewe ukawa ni Mpenzi wangu niliyeachana nae hivyo ndiyo maana hadi unaweza Kujua Shida zangu za Kupigwa na Maisha mpaka Umri wangu mkubwa ambao Uliukubali na hata nlipokuwa nakulala ulijua kuwa Unalalwa na Mzee Jitu zima ila tatizo la Upumbavu wako Uliorithishwa na waliokuleta duniani hulijui au kama unalijua umeshindwa Kulitatia.

Huwa sichoki Kuelimisha Fools wa aina yako na cha Kushangaza zaidi ni kwamba tayari umeshajua kuwa nimechanganyikiwa na Maisha lakini bado tu unapoteza muda wako Kujibizana na Kujipendekeza katika huu Uzi wangu.
 
Nashauri huu uzi mod waufute maana mtu alie uleta hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri huu uzi mod waufute maana mtu alie uleta hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo Mods wakupige BAN Wewe damn Fool? Nimeleta Uzi natafuta Mwenza wangu nakushangaa badala ya Kujikita haja Hoja Kuu Wewe unaleta Upuuzi wako.

Kwani nimekulazimisha Uufungue Uzi wangu huu? Kama Wewe haukuhusu kwanini Unahangaika nao tu muda Wote?

Unajichoresha sana tu kwa wenye Kukuzidi Akili na nakushauri acha kupoteza muda wako Kuuchangia huu Uzi au kutaka Majibizano nami kwani hakuna utakachokiweza au nishinda pia sawa? Unaboa....!!!!
 
Mods futeni huu uzi hamna mtu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikupe siri moja kubwa sana:
Usijidanganye kuoa mwanamke maskini sana asilimia kubwa hao ndo huongoza kwa ushirikina, limbwata, hata usariti maana wengi wao huamini kwamba akipata mwenye pesa atampunguzia matatizo
 
Mkuu nikupe siri moja kubwa sana:
Usijidanganye kuoa mwanamke maskini sana asilimia kubwa hao ndo huongoza kwa ushirikina, limbwata, hata usariti maana wengi wao huamini kwamba akipata mwenye pesa atampunguzia matatizo
Samahani Mkuu Kichwani mwako zimetimia?
 
Yani huyu jamaa nimejikuta napenda kusoma huu uzi kwa jinsi anavyo panic akiwa challenged kidogo tu matusi sasa hofu yangu nikwamba ndoa ataiweza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…