Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

mi sio maskini, tatizo dini tu hapo dah
Pole, hongera kwa Utajiri ulionao na uliobarikiwa nao pia. Kuhusu Imani ( Dini ) usijali utampata tu Muislamu Mwenzako tena aliye Tajiri kama Wewe hapa hapa JamiiForums. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akufanikishie hilo.
 
Yani huyu jamaa nimejikuta napenda kusoma huu uzi kwa jinsi anavyo panic akiwa challenged kidogo tu matusi sasa hofu yangu nikwamba ndoa ataiweza kweli?
Umeambiwa Ndoa yangu itakuwa na Upumbavu na Uswahili kama ulionao / mlionao mnaonikejeli na Kunichokoza katika Uzi huu? Na Wewe ni Mwanaume nashangaa kwanini unakuwa na Kiherehere wakati huu Uzi nimewalenga Wanawake. Kwa Upuuzi wenu huu sitoacha Kuwajibuni hovyo.
 
Pole, hongera kwa Utajiri ulionao na uliobarikiwa nao pia. Kuhusu Imani ( Dini ) usijali utampata tu Muislamu Mwenzako tena aliye Tajiri kama Wewe hapa hapa JamiiForums. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akufanikishie hilo.
inshallah ndg yangu, mm as long as nna pa kulala na kula siwez kosa shukrani kwa muumba wang na kujiita maskin. Maskini hata smartphone hana ujue. Tujifunze kushukuru. Kila kheri mkuu
 
Siko hapa JamiiForums kutoa Elimu kwa Wapumbavu wasioelewa kuwa neno Masikini ni very broad logically na kwamba Mtu Kujiita Masikini hamaanishi ambavyo Wapuuzi wengi mlivyokariri au mlivyokaririshwa.

Acheni tu Kunichosha Kuwaelimisha juu ya neno Masikini au kujiita Kwangu Masikini kwani Mnaniboa pia vile vile sawa? Kama unaona hunihitaji au sina Sifa za kuwa nawe achana na Mimi tafuta wa Level yako mbona wapo wengi tu hapa kwanini mhangaike na Masikini Mimi?
 
Punguza jazba, huwezi jibu mtu hadi utukane kaka? una msongo wa mawazo kiasi hicho? hebu chill.
 
Majibu yangu kwa Fools and Hypocrite kama Wewe huwa ni hayo na hayatobadilika. Nimekuita?
 
Wanaume Wanaume Wanaume sisi Huwa Tunapenda mtu akiwa hana Chochote ila Wanawake hawapo Hivyo hata Siku Moja, hawawezi Kukupenda usipokuwa na Kitu Acha Kujidanganya

Wewe .wenyewe Hupendi Hiyo Hali unategemea Kuna Mtu atakuja Kukupenda Ulivyo kama Wewe Mwenyewe hupendi Hali Uliyonayo.

Tafuta Pesa Kwanza Achana Na Mwanamke wa Kuishi naye ukiwa Katika Hiyo hali. Ukiziidiwa Tafuta Short Time Ila Kwa Tahadhari wapo tu wengi huko Barabarani
 
Heshimu Maamuzi yangu ya Kujitangaza Masikini na Kumtafuta Masikini Mwenzangu kama ambavyo nami pia naheshimu Utajiri ulionao na Mafanikio hayo makubwa ya Kimaisha uliyoyabahatisha sawa?

Sina Hela au Kazi kwani kuna Siku yoyote ile nimekuja Kukugongea Mlango hapo Kwako ulikopanga na Kukuomba Ugali, Maharage na Hela ya Mimi kununua bundle kuniwezesha kuwa hapa Mitandaoni?

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wanafiki sana.
 
Ni Ushauri tu Either Take It or Leave it. Maana Maisha ni Yako mkuu

Haina Shida Na Endelea kutafuta Mwanamke atakayependa Umasikini uliousema Hapo Juu
 
Heshimu Maamuzi yangu ya Kujitangaza Masikini na Kumtafuta Masikini Mwenzangu kama ambavyo nami pia naheshimu Utajiri ulionao na Mafanikio hayo makubwa ya Kimaisha uliyoyabahatisha sawa?

Sina Hela au Kazi kwani kuna Siku yoyote ile nimekuja Kukugongea Mlango hapo Kwako ulikopanga na Kukuomba Ugali, Maharage na Hela ya Mimi kununua bundle kuniwezesha kuwa hapa Mitandaoni?

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wanafiki sana.
Mwanamke maskini Anahitaji mwanamme tajiri mzee sio kapukuuu tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wewe kama kapuku tumia deto au kuwa single usitake kumchosha mtoto wa watu
 
Back
Top Bottom