Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen / Inshaallah.Kila la kheri...
Pole, hongera kwa Utajiri ulionao na uliobarikiwa nao pia. Kuhusu Imani ( Dini ) usijali utampata tu Muislamu Mwenzako tena aliye Tajiri kama Wewe hapa hapa JamiiForums. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akufanikishie hilo.mi sio maskini, tatizo dini tu hapo dah
Nipo serious na sifanyi Mzaha juu ya hili hata hivyo mnaofanya Kejeli juu yangu na juu ya Uzi huu mbarikiwe pia.Mtafutie mtoa Mada mwanamke...au nijitose?
Umeambiwa Ndoa yangu itakuwa na Upumbavu na Uswahili kama ulionao / mlionao mnaonikejeli na Kunichokoza katika Uzi huu? Na Wewe ni Mwanaume nashangaa kwanini unakuwa na Kiherehere wakati huu Uzi nimewalenga Wanawake. Kwa Upuuzi wenu huu sitoacha Kuwajibuni hovyo.Yani huyu jamaa nimejikuta napenda kusoma huu uzi kwa jinsi anavyo panic akiwa challenged kidogo tu matusi sasa hofu yangu nikwamba ndoa ataiweza kweli?
Amen / Inshaallah.Utampata tu! Ingawa kwa nyakati hizi wengi wanaolewa na pesa lakini utampata tu wa kufanana nawe.
inshallah ndg yangu, mm as long as nna pa kulala na kula siwez kosa shukrani kwa muumba wang na kujiita maskin. Maskini hata smartphone hana ujue. Tujifunze kushukuru. Kila kheri mkuuPole, hongera kwa Utajiri ulionao na uliobarikiwa nao pia. Kuhusu Imani ( Dini ) usijali utampata tu Muislamu Mwenzako tena aliye Tajiri kama Wewe hapa hapa JamiiForums. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akufanikishie hilo.
Siko hapa JamiiForums kutoa Elimu kwa Wapumbavu wasioelewa kuwa neno Masikini ni very broad logically na kwamba Mtu Kujiita Masikini hamaanishi ambavyo Wapuuzi wengi mlivyokariri au mlivyokaririshwa.inshallah ndg yangu, mm as long as nna pa kulala na kula siwez kosa shukrani kwa muumba wang na kujiita maskin. Maskini hata smartphone hana ujue. Tujifunze kushukuru. Kila kheri mkuu
Punguza jazba, huwezi jibu mtu hadi utukane kaka? una msongo wa mawazo kiasi hicho? hebu chill.Siko hapa JamiiForums kutoa Elimu kwa Wapumbavu wasioelewa kuwa neno Masikini ni very broad logically na kwamba Mtu Kujiita Masikini hamaanishi ambavyo Wapuuzi wengi mlivyokariri au mlivyokaririshwa.
Acheni tu Kunichosha Kuwaelimisha juu ya neno Masikini au kujiita Kwangu Masikini kwani Mnaniboa pia vile vile sawa? Kama unaona hunihitaji au sina Sifa za kuwa nawe achana na Mimi tafuta wa Level yako mbona wapo wengi tu hapa kwanini mhangaike na Masikini Mimi?
Majibu yangu kwa Fools and Hypocrite kama Wewe huwa ni hayo na hayatobadilika. Nimekuita?Punguza jazba, huwezi jibu mtu hadi utukane kaka? una msongo wa mawazo kiasi hicho? hebu chill.
unahitaji watu karibu yako ili uweze kukaa sawa, Mungu atakupigania nduguMajibu yangu kwa Fools and Hypocrite kama Wewe huwa ni hayo na hayatobadilika. Nimekuita?
But let them not be Fools as you're Ok?unahitaji watu karibu yako ili uweze kukaa sawa, Mungu atakupigania ndugu
Heshimu Maamuzi yangu ya Kujitangaza Masikini na Kumtafuta Masikini Mwenzangu kama ambavyo nami pia naheshimu Utajiri ulionao na Mafanikio hayo makubwa ya Kimaisha uliyoyabahatisha sawa?Wanaume Wanaume Wanaume sisi Huwa Tunapenda mtu akiwa hana Chochote ila Wanawake hawapo Hivyo hata Siku Moja, hawawezi Kukupenda usipokuwa na Kitu Acha Kujidanganya
Wewe .wenyewe Hupendi Hiyo Hali unategemea Kuna Mtu atakuja Kukupenda Ulivyo kama Wewe Mwenyewe hupendi Hali Uliyonayo.
Tafuta Pesa Kwanza Achana Na Mwanamke wa Kuishi naye ukiwa Katika Hiyo hali. Ukiziidiwa Tafuta Short Time Ila Kwa Tahadhari wapo tu wengi huko Barabarani
Ni Ushauri tu Either Take It or Leave it. Maana Maisha ni Yako mkuuHeshimu Maamuzi yangu ya Kujitangaza Masikini na Kumtafuta Masikini Mwenzangu kama ambavyo nami pia naheshimu Utajiri ulionao na Mafanikio hayo makubwa ya Kimaisha uliyoyabahatisha sawa?
Sina Hela au Kazi kwani kuna Siku yoyote ile nimekuja Kukugongea Mlango hapo Kwako ulikopanga na Kukuomba Ugali, Maharage na Hela ya Mimi kununua bundle kuniwezesha kuwa hapa Mitandaoni?
Kuna Watu ni Wapuuzi na Wanafiki sana.
Mwanamke maskini Anahitaji mwanamme tajiri mzee sio kapukuuu tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wewe kama kapuku tumia deto au kuwa single usitake kumchosha mtoto wa watuHeshimu Maamuzi yangu ya Kujitangaza Masikini na Kumtafuta Masikini Mwenzangu kama ambavyo nami pia naheshimu Utajiri ulionao na Mafanikio hayo makubwa ya Kimaisha uliyoyabahatisha sawa?
Sina Hela au Kazi kwani kuna Siku yoyote ile nimekuja Kukugongea Mlango hapo Kwako ulikopanga na Kukuomba Ugali, Maharage na Hela ya Mimi kununua bundle kuniwezesha kuwa hapa Mitandaoni?
Kuna Watu ni Wapuuzi na Wanafiki sana.
mimi mwenyewe sina mwanamke😅 ningekuwa na huo uwezo ningeshaoaMtafutie mtoa Mada mwanamke...au nijitose?
Huyo ndoa hawezi hata kidogo..Yani huyu jamaa nimejikuta napenda kusoma huu uzi kwa jinsi anavyo panic akiwa challenged kidogo tu matusi sasa hofu yangu nikwamba ndoa ataiweza kweli?
Tumeambiwa tuache masihara....mwenye uzi hapendi.[emoji854][emoji6][emoji854][emoji6]mimi mwenyewe sina mwanamke[emoji28] ningekuwa na huo uwezo ningeshaoa