instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
Acha maamuzi ya haraka mke hatafutwi hivo, utakuja kupata bom kubwa likupasukie hata kuliko hilo ulio acha.Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
Sawa mkuuAcha maamuzi ya haraka mke hatafutwi hivo, utakuja kupata bom kubwa likupasukie hata kuliko hilo ulio acha.
Njoo tukushauri sisi wahanga wa hayo matukio, la kwanza usiwe na mke moja kwa mda wowote lazima uwe na plan B, hapo plana A ikileta mshikira unapata mda wa kureplace bila kua na haraka mkuu, ila uchumi uwe nao.Sawa mkuu
Umenishauri kiume sana comrade thank youNjoo tukushauri sisi wahanga wa hayo matukio, la kwanza usiwe na mke moja kwa mda wowote lazima uwe na plan B, hapo plana A ikileta mshikira unapata mda wa kureplace bila kua na haraka mkuu, ila uchumi uwe nao.
Ukipata wawili, nipatie mmoja aisee!! ila mim asizid 27 ageHusika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
Ukipata wa ziada na mimi nigaie moja ila asizidi 25 age[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukipata wawili, nipatie mmoja aisee!! ila mim asizid 27 age
Hutaki wazee kijana😂Ukipata wa ziada, nigaie mmoja ila asizidi 70 yrs of age 🥤
Njoo Dm winnitajie ID yako ya zamani nisije nikajichanganya🤣🤣🤣🤣🤣
Asante mkuu nitafanyia hii huu ushauri wakoUmejaribu kukatisha mitaa ya nkuhungu
Sawa mkuuUkipata wa ziada, nigaie mmoja ila asizidi 70 yrs of age 🥤
🤣Sawa comradeUkipata wa ziada, nigaie mmoja ila asizidi 70 yrs of age 🥤
Hili nitaliweka sawa mkuuWENZIO WANAULIZA KWANZA KAMA UNA MTOTO WASIJE BEBA MWANAUME HANA GUMBE JIPANGE
taja account ya mwanzo nipitie mafaili yako nije chap chap usikute wew ni Poor BrainNjoo Dm win
Tahadhari ni muhimu. Isijekuwa ndiye wewe uliyeachika kwake halafu mkutane tenanitajie ID yako ya zamani nisije nikajichanganya🤣🤣🤣🤣🤣