win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
kabeeesa sitaki kujichanganya😂Tahadhari ni muhimu. Isijekuwa ndiye wewe uliyeachika kwake halafu mkutane tena
kabeeesa sitaki kujichanganya😂Tahadhari ni muhimu. Isijekuwa ndiye wewe uliyeachika kwake halafu mkutane tena
Hapana mm siyo poor braintaja account ya mwanzo nipitie mafaili yako nije chap chap usikute wew ni Poor Brain
Hii picha banaHutaki wazee kijana😂View attachment 3560081njoo kwangu nina 68 tu😁
68 🤩 daah unafit kabisa, nipe location nije nikuchukue twende Zenji kuvua samaki.Hutaki wazee kijana😂View attachment 3560081njoo kwangu nina 68 tu😁
then hu a yu? kwanini utafute mchumba kwa I'd mpya?Hapana mm siyo poor brain
Karibu sana pm ...ili nifunge mjadala
Njoo pm winthen hu a yu? kwanini utafute mchumba kwa I'd mpya?
Kwani kuna DNA humutaja account ya mwanzo nipitie mafaili yako nije chap chap usikute wew ni Poor Brain
mi sipo dodoma, asante piahNjoo pm win
ndio watu ni mapacha yaani wawili wawiliKwani kuna DNA humu
Mmh
Njoo mpaka haile selassie road🤸🏽♀️Hii picha bana
68 🤩 daah unafit kabisa, nipe location nije nikuchukue twende Zenji kuvua samaki.
Hahaha ni yeyeee…Hii picha bana 🤣 LADY IN BED
Sasa huyo pichani ndo Binti wa zamani OG, acha huyu wetu wa JF.
😂😂😂😂😂😂😂Umepagawa ww win et..taja account ya mwanzo nipitie mafaili yako nije chap chap usikute wew ni Poor Brain
Hivi Haile Selassie hakuna radi hapo? ili nije na kikinga radi changu, nipambane dhidi ya hizi radi za msimu huu kama zikinikuta hapo wakati "ukinichomesha mahindi" nikikusubiri masaa 10 ukijipodoa.Njoo mpaka haile selassie road🤸🏽♀️
Hahaha ni yeyeee…
Ni yeyeeeeeNjoo mpaka haile selassie road🤸🏽♀️
Hahaha ni yeyeee…
Hahhah hakuna radi huku, unajikinga nakitu gani?Hivi Haile Selassie hakuna radi hapo? ili nije na kikinga radi changu, nipambane dhidi ya hizi radi za msimu huu kama zikinikuta hapo wakati "ukinichomesha mahindi" nikikusubiri masaa 10 ukijipodoa.
Asante mkuu kwa ushauri mzuriKama unavyoweza kutafuta hapa njia nyepesi sogea sogea mipango hapo Kuna toto ndogo ndogo na kubwa za kwendaaa
uvae gauni hili, mara uvue.. , uvae lile uvue.. uvae suruali uvue, uvae jeje uvue, uvae skinny jeans uvue..Hahhah hakuna radi huku, unajikinga nakitu gani?
Hahah wazee na kujipodoa wapi na wapi sipaki hata mafuta mimi ukifika tu nipo!
Aanh wapi😂uvae gauni hili, mara uvue.. , uvae lile uvue.. uvae suruali uvue, uvae jeje uvue, uvae skinny jeans uvue..
Paka wanja, ufute..
Umetoka kuoga, unarudi tena bathroom..
Yaani, mpaka time ukimaliza unakuta nishakaukaaa nishapigwa na radi muda sana