Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

"akisema hana mbwembwe, ujue ndo anazo mbwembwe" ilisikika sauti kutoka nyikani.
74FBF719-431E-4555-BA51-1BA74DA9FB46.jpeg
 
Wohooo😍💃🏽 Mshangazz leo ntatishaz
a lady in your bespoke attire, halafu naenda kukulisha mihogo ya jero na maji ya kudownload 😀 nisamehe.

na kama haitoshi, nakuaibisha pia maana nadai chenji ya sh 100 kwa kufoka mpaka nataka kukosana na muhudumu 🤠

will make a scene mpaka watu waliopo eneo hilo watabaki kujisemea, "daah, namuonea huruma huyu dada, yaani kama jamaa ake ndo mkwakwa hivi, sijui future yao itakuwaje"
 
a lady in your bespoke attire, halafu naenda kukulisha mihogo ya jero na maji ya kudownload 😀 nisamehe.
Hmm hebu ngoja kwanza, mihogo sawa naweza jikaza coz hata nikiwa mwenyewe naipiga freshy tu😆 ila maji hayo hapana kwakweli..
na kama haitoshi, nakuaibisha pia maana nadai chenji ya sh 100 kwa kufika mpaka nataka kukosana muhudumu 🤠
Uweeh! Hapo umenikosa🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️ 100 in dollars au hizi sh??
will make a scene mpaka watu waliopo eneo hilo watabaki kujisemea, "daah, namuonea huruma huyu dada, yaani kama jamaa ake ndo mkwakwa hivi, sijui future yao itakuwaje"
Hahah uwii that can never be me! Siwezi aisee may that kind of relationship never relocate me IJN😱 kwanza ninavyovutiwa na wakaka wakimya, tena tuanze kujaziana nzi🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom