Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

Eeeheeeeeee unazidi kutoa majibu ya paper 2 ya necta.
Sijui nianze kuwa mkimya? πŸ€”
 
Hauko serious Kaka
Hivi toka lini mwanaume rijali anakuwa na kelele kama hizi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
weeh! Hapo umenikosaπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ 100 in dollars au hizi sh??
wee si unaona USA ipo vitani, US dollars zote zipo vitani.
Hapa ni Tshs. ndo inayoongelewa hapa
 
Hmm hebu ngoja kwanza, mihogo sawa naweza jikaza coz hata nikiwa mwenyewe naipiga freshy tuπŸ˜† ila maji hayo hapana kwakweli.
Haya maji nitayafanyia filtration na chlorination, usijali... safe kwa kunywa, waulize DAWASA 😎
 
Hauko serious Kaka
Hivi toka lini mwanaume rijali anakuwa na kelele kama hizi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwani nyie watu wenye vitick mnashida Gani? Hakuna watu wenye upumbavu mwingi kama nyie jamaa
 
Kweli we Mwanaume uliye timamu unaweza Kuja hadharani kutangaza unatafuta mke wa kuoa? Hebu kuwa timamu basi
Kwani nyie jamaa wenye vitick kwenye majina yenu huwa ni alama za ushoga au nini mbona hamnaga akili wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…