Ndugu Mkufunzi, YUDOMU imejaa watoto na staff wazuri wa kumwaga! bado unakuja mtandaoni kuja kutafuta mke wa kuoa!Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
Ile ile kama waelekea beach?, upande wa kulia nimekaa nyumba fulani hapo for 2 years.Njoo mpaka haile selassie road🤸🏽♀️
Hahaha ni yeyeee…
Kwahiyo sisi wa mitandaoni tusiolewe mkuu?🤔Ndugu Mkufunzi, YUDOMU imejaa watoto na staff wazuri wa kumwaga! bado unakuja mtandaoni kuja kutafuta mke wa kuoa!
Siyo wewe unayewaponda watu wanaopenda kuitegemea mitandao ya kijamii kwa kila kitu!! Assistant Lecturer unazingua. Humu hutaambulia chochote.
Napajua basi!😆Ile ile kama waelekea beach?, upande wa kulia nimekaa nyumba fulani hapo for 2 years.
Ntakupa ndug yangu!! Ngoja nitafute kwa tochi hapUkipata wa ziada na mimi nigaie moja ila asizidi 25 age[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri mzur, sanaAsante mkuu kwa ushauri mzuri
Yaani, unakuta anasema kabisa ye hapend ela, na hawez omba mwanaume ela! Lakn within a day, ushachapika za uso"akisema hana mbwembwe, ujue ndo anazo mbwembwe" ilisikika sauti kutoka nyikani.
kabisa mkuuYaani, unakuta anasema kabisa ye hapend ela, na hawez omba mwanaume ela! Lakn within a day, ushachapika za uso