Lianzishe ili tujue maana mmoja hanitoshiYaani watu wanapenda kujjita wakristo ili kukwepa ndoa ya uke wenza. Wakati wake wanne kwenye biblia imeruhusiwa. Ukitaka ligi ya maandiko sema nilianzishe.
Hahaha unachekesha aisePole maana wakristo unaowataka nafasi zimejaa labda naye awe hajaoa ndio utapata nafasi..
Hahaha naona unaumia ..tafuta wa dini yako bwana mzee ..hio ni specifications zake utanung'unika bure bila sababu za msingiUtaumiza roho yako bure kwa kutafuta mume mwenye dini kama yako. Mwanamke hana dini. Soma Wakorintho wa kwanza sura ya tisa..
Mzima habari ya wapi ? Nmeliona bandiko lako kwa heshma na taadhima naomba uniruhusu tujadiliane kwa upendo .natanguliza shukrani zanguHabari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Naomba nikuite MPUMBAVU...wapi katika Biblia Takatifu imeandikwa WAKE WANNEYaani watu wanapenda kujjita wakristo ili kukwepa ndoa ya uke wenza. Wakati wake wanne kwenye biblia imeruhusiwa. Ukitaka ligi ya maandiko sema nilianzishe.
Hahah mbona kama mnamshambulia ...nyie madunga embe wa huko mitaani ndo wanawafaa...mkishaona wanawake wanaojielewa kama huyu hua kazi yenu mnakashifu mana hamuwezi kua na aina ya wanawake wnaojilelewaUliyekula naye ujana yuko wapi, mpk uje kunipumzikia na uzee wako???? Eti umri wa kuwa na familia umefika au umetumika sasa depreciation iko juu ndiyo utafutakivuli.
Akuu nami nataka kigori nguruwe pita mbali mwenzio sina mkuki.
Nikikuonesha hili andiko hilo tusi ulilonitujana itakuwaje?Naomba nikuite MPUMBAVU...wapi katika Biblia Takatifu imeandikwa WAKE WANNE
Hilo sio tusi na litabaki kua hivyo hivyo...kwamba u mpumbavu, acha kudhihaki Biblia Takatifu na acha kudhihaki dini .....huna cha kunioneshaNikikuonesha hili andiko hilo tusi ulilonitujana itakuwaje?
Halafu wakristo kwa nini huwa mnajazba hasa pale mnaposonewa maandiko halali? Mbona kwenye biblia ndio kuna manabii wengi walikuwa na wake makumi kwa mamia? Kwenye Quran mtu aliyekuwa na wake wengi ni nabii Muhammad s.a.w pekee yaje. Alikuwa nao tisa tu. Lakini kwebye biblia ndio tunaona manabii wana wake kibao.....Naomba nikuite MPUMBAVU...wapi katika Biblia Takatifu imeandikwa WAKE WANNE
Kwani we dalali wake?Gudume anakutafutaaa
Aliyedhihaki dini nani? Kwanza unaweza kunitolea andiko kwenye biblia ukristo ni dini?Hilo sio tusi na litabaki kua hivyo hivyo...kwamba u mpumbavu, acha kudhihaki Biblia Takatifu na acha kudhihaki dini .....huna cha kunionesha
Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanneHalafu wakristo kwa nini huwa mnajazba hasa pale mnaposonewa maandiko halali? Mbona kwenye biblia ndio kuna manabii wengi walikuwa na wake makumi kwa mamia? Kwenye Quran mtu aliyekuwa na wake wengi ni nabii Muhammad s.a.w pekee yaje. Alikuwa nao tisa tu. Lakini kwebye biblia ndio tunaona manabii wana wake kibao.....
Na mimi nasema hivi nikukuoenesha hilo andiko wakati ushaniita mpumbavu itakuwaje?Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanne
Acha jazba. Ndio maana wakristo mko shallow kwenye maandiko maana mna matusi badala ya kujifunza. Sasa unani attack bila sababu yoyote. Pumbavu mwenyewe shenzy mbwa....!Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanne