Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Sawa ubarikiwe saana kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu . Kuwa jasiri tu kwani utapambana na maneno mengi mengine yana udhi lakini ukiwa na subira mwisho wa siku utaibuka mshindi yaamini maneno yangu kwani ni wanawake wachache tu wanao weza kuwa na ujasiri wa namna yako tupo pamoja .
 
Utaumiza roho yako bure kwa kutafuta mume mwenye dini kama yako. Mwanamke hana dini. Soma Wakorintho wa kwanza sura ya tisa..
Hahaha naona unaumia ..tafuta wa dini yako bwana mzee ..hio ni specifications zake utanung'unika bure bila sababu za msingi
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Mzima habari ya wapi ? Nmeliona bandiko lako kwa heshma na taadhima naomba uniruhusu tujadiliane kwa upendo .natanguliza shukrani zangu
 
Uliyekula naye ujana yuko wapi, mpk uje kunipumzikia na uzee wako???? Eti umri wa kuwa na familia umefika au umetumika sasa depreciation iko juu ndiyo utafutakivuli.

Akuu nami nataka kigori nguruwe pita mbali mwenzio sina mkuki.
Hahah mbona kama mnamshambulia ...nyie madunga embe wa huko mitaani ndo wanawafaa...mkishaona wanawake wanaojielewa kama huyu hua kazi yenu mnakashifu mana hamuwezi kua na aina ya wanawake wnaojilelewa
 
Naomba nikuite MPUMBAVU...wapi katika Biblia Takatifu imeandikwa WAKE WANNE
Halafu wakristo kwa nini huwa mnajazba hasa pale mnaposonewa maandiko halali? Mbona kwenye biblia ndio kuna manabii wengi walikuwa na wake makumi kwa mamia? Kwenye Quran mtu aliyekuwa na wake wengi ni nabii Muhammad s.a.w pekee yaje. Alikuwa nao tisa tu. Lakini kwebye biblia ndio tunaona manabii wana wake kibao.....
 
Mm niko tayari ila wewe ndo ni pm mimi ila ukisha ni pm niko huwe tayari kupima mengine tutaongea pm
 
Hilo sio tusi na litabaki kua hivyo hivyo...kwamba u mpumbavu, acha kudhihaki Biblia Takatifu na acha kudhihaki dini .....huna cha kunionesha
Aliyedhihaki dini nani? Kwanza unaweza kunitolea andiko kwenye biblia ukristo ni dini?
 
Halafu wakristo kwa nini huwa mnajazba hasa pale mnaposonewa maandiko halali? Mbona kwenye biblia ndio kuna manabii wengi walikuwa na wake makumi kwa mamia? Kwenye Quran mtu aliyekuwa na wake wengi ni nabii Muhammad s.a.w pekee yaje. Alikuwa nao tisa tu. Lakini kwebye biblia ndio tunaona manabii wana wake kibao.....
Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanne
 
Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanne
Acha jazba. Ndio maana wakristo mko shallow kwenye maandiko maana mna matusi badala ya kujifunza. Sasa unani attack bila sababu yoyote. Pumbavu mwenyewe shenzy mbwa....!
 
Back
Top Bottom