paliemba
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 445
- 212
Sawa ubarikiwe saana kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu . Kuwa jasiri tu kwani utapambana na maneno mengi mengine yana udhi lakini ukiwa na subira mwisho wa siku utaibuka mshindi yaamini maneno yangu kwani ni wanawake wachache tu wanao weza kuwa na ujasiri wa namna yako tupo pamoja .