Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 750
- 656
Vijana mshindwe kazi wenyewe,bint ana masharti nafuu sana
kuna kitu umesahauumri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.
Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji masikhara wala kebehi,mambo yote yawe katika private sms.asiyehusika please naomba apite.
N.b:kupima hiv ni muhimu sana.