Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli


Naamini wengi wanaotafuta wachumba humu ni waongo,hawako serious..
 
Me kweli natafuta mke lkn kwa style yako bac sikutaki kwasababu unatangaza sifa kibao je wewe kwa upande wako hizo sifa zote unazo? Eti oo me nataka mwanaume awe hivi awe vile kama wewe umekamilika bac jioe mwenyewe kwanza me sipendi mwanamke anaye jitangaza kwenye mitandao umala***ya tu
 
Ambatanisha picha yako tafadhali.Tupo serious.
 
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......

Naona wewe ni nadhifu sana,jee umeolewa bi dada?
 
Kama una nia ya dhati kabisa kutoka moyoni mwako ni PM tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…