Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mwanamke ni tapeli wakuu,niliwasiliana nae ndani ya dakika moja akawa amenidanganya mara 2,sikumtafta tena.mara ya kwanza akaniambia yuko tunduma kwa mjomba wake,muda mfupi tena nikamuuliza uko wapi akadai mtwara kwa mama yake,nikaishiwa pozi sukumtafta tena.
nikamuuliza tena umesema uko wapi,akajishtukia eti oooh sory awali nilisema niko tunduma,ni story ndefu mawazo yananitesa,nikajua huyu kimeo,sikumtafta tena.
kuweni makini.
Nimeshaoa huyu mtoto . Thread closed
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......
Akilijibu hili swali kwakutamka neno"Ndio" natangaza nia na namuhakikishia sigegedi mpaka ndoa.
Lazima atakuwa nayo ndo maana anataka kuolewa.